Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

Na nyie wanawake mlioko huku bungeni,dada enu makinda ameshawataadharisha hamjaenda hapo kuambukizana virusi.Ukiona Mtu anakazana aongezewe posho kumbe nia yake ni kufanyia ufuska-Tusaidie walipa kodi kwa kuuN'gata mgegedeo wake.
 
sasa huyu kama ilikuwa ni bangi,ikimtoka na akawa anahitaji mabo ya ndoa atafanyaje?

Labda ataomba kwa jirani, lakini hata wanaume wengine wataogopa kumutolea dushelele, kung'atwa si mchezo, jamaa anakuwa hana network tena
 
Duh, kwa nini asingesubiri usiku?? Mapenzi yanafanyika kwa makubaliano bana hata kama ni wanandoa...!!
Sasa hapo nini maana ya kuoa? kama mtu ana sababu za msingi sawa yaani ugonjwa n.k,lkn hii ya kusema subiri usiku,
kama jamaa anasimama kwa msimu kama mvua ya vuli afu wife analeta za mgao wa tanesco siyo poa.
 
Du bora angemkata panga,amemfanya mwenzake si rizki.
 
Labda ataomba kwa jirani, lakini hata wanaume wengine wataogopa kumutolea dushelele, kung'atwa si mchezo, jamaa anakuwa hana network tena
Hapa anatakiwa achongeshe mguu wa bandia na aanze kuomba mechi asubuhi na jioni,ili huyo mama akingata tena
inakuwa haiumi tena.
 
Hapa anatakiwa achongeshe mguu wa bandia na aanze kuomba mechi asubuhi na jioni,ili huyo mama akingata tena
inakuwa haiumi tena.

hii kitu haina bandia, huyo baba ndio basi tena na huyo mama ahame tu mji
 
Mama huyo akaona isiwe haja ngoja autulize munkari akaung'ata mgegedo na meno mmewe ikabidi apige yowe kuomba msaada baada ya kupata maumivu makali na kukimbizwa hospitali, Madaktari walifanikiwa kuisize mgegedo na sasa imebaki kama kipisi cha sigara amekuwa mlemavu wa mgegedo, atautumia kutolea maji taka ya kimimika tu na si kwa kungonoka.

Source: Wapo FM


Kipisi cha sigara = Kishungi

Anyway hii naona ni taaluma mpya kama siyo kipaji, ana meno makali kiasi gani huyo mama!!!? nyama mbichi tu kuikata kwa meno ni shida, sembuse mshipa!!! hii ni kifungua mwaka
 
Ningepata mwanamke anae ninyima ningefurahi sana. maana ingekua ndio paspoti ya kutafutia nyumba ndogo
 
hii kitu haina bandia, huyo baba ndio basi tena na huyo mama ahame tu mji
Mkuu ahame tena! huyo aliyen'gatwa amkomalie aendelee kumtunza maisha maana kamsababishia kilema cha kudumu
kama hawezi kuoa tena nani atampikia na kumsaidia mambo mengine?
Na bandia ya hiyo kitu hipo ingia kwenye mitandao utaona.
 
Ndo maana Mimi naogopa kuoa kiukweli!!!
Huko sinza makaburini na mole ndo noma maana ukingatwa atakae kungata anasepa wewe utakutwa peke yako ukipiga mayowe,
afadhali uumizwe na wa kwako mwenyewe.
 
Mpwa we mkeo anaweza kukupangia muda wa kula tunda?

Mpwa hawezi nipangia lakini utamu wa mgegedo ni pale mke anapokuwa fizikale na mentale fiti...huenda hiyo njemba huwa inamkomesha sana mkewe ndio maana ikanyofolewa kifanyio
 
Jamani baba wa watu tena ndio basi kugegeda. Ila labda angemuwahi yeye sasa hivi, tungekuwa tunasikia story tofauti kuwa huyo mama kakatwa mguu ama mkono. Kaka zangu huko ni mwendo wa kugecha, huyo baba hana hamu na wanawake tena.
 
kaazi kweli kweli maana haiingii akilini lazima huyo jamaa alikuwa mlevi
 
Mkuu ahame tena! huyo aliyen'gatwa amkomalie aendelee kumtunza maisha maana kamsababishia kilema cha kudumu
kama hawezi kuoa tena nani atampikia na kumsaidia mambo mengine?
Na bandia ya hiyo kitu hipo ingia kwenye mitandao utaona.


jitu lenye ukatili kama huo hata roho anaweza kumtoa, nina wasiwasi sana wakiendelea kukaa atamuua huyo baba, sasa hiyo bandia kama uwezo hana huyo baba ndio basi tena,
 
Hizo ndo tabia za wajaluo. Na yeye amvizie amngate kisimbusi chake awe kama mkurya aliye pitia jando
 
duh! kang'ata hadi imetoka,no love hapo...imenichosha.
 
Back
Top Bottom