huyu mwanaume ana matatizo siyo bure yani mimi nimwangalie tu mtu anaanza kung'ata ningempa za uso mwenyewe angeachia
Mpwa hawezi nipangia lakini utamu wa mgegedo ni pale mke anapokuwa fizikale na mentale fiti...huenda hiyo njemba huwa inamkomesha sana mkewe ndio maana ikanyofolewa kifanyio
Na tatizo lingine ni kuwa kwenu kosa moja lina adhabu kibao... Hebu checkijamani..
so sad. .. ingawa hatujui ni namna gani huyo bwana alikuwa akilazimisha suala hilo, lakini bado adhabu aliyopewa ni kubwa mno.
wanawake wa mara wana mambo ya ajabu sana, kunauwezekano wanavuta bangi
7. Unapisishwa.Na tatizo lingine ni kuwa kwenu kosa moja lina adhabu kibao... Hebu checki
1. Nanyimwa unyumba,
2. Sitapikiwa
3. Sitawekewa maji yoyote
4. Sitaongeleshwa chochote
5. Nitatukanwa kwa maneno yoyote
6. Nitakaripiwa kwa kila nitakachouliza.
7....
Mmmmmh! JT2014, swali gani hilo, kwani ss ctupo?sasa huyu kama ilikuwa ni bangi,ikimtoka na akawa anahitaji mabo ya ndoa atafanyaje?