DJ ,
Pesa ni sehemu tuuu ya maisha
Hata wanawake wanaweza kutafuta!
Tena wanaume wakipata pesa na mapenzi yanapungua home, najuuuta jamaa yangu kipato kilipo ongezeka!
Kuwa na muda nae wakuchati kuongea,kupiga simu!
Mshirikishe baadhi ya mambo yako ya kimaendeleo!
Vizawadi vidogo vidogo
Some outing kidogo
Don't expect too much from her!
Muamini!.
Msamehe anapokosea!
Muelekeze kwa upole anapokosea
MPE heshima mbele za watu
.........,
..........maisha sanaaa kamwe haifi ,kuwa mbunifu usikariri mambo,asha,sio amina ,esta sio rose!