Mwanamke anaridhishwa na nini?

Mwanamke anaridhishwa na nini?

Hamna kitu kimoja kinachomridhisha mwanamke.

Huwezi kuwa na hela afu kutwa visa kwa mkeo ujidanganye hatakuacha.

Huwezi kumhudumia mkeo afu kitandani sifuri na ujidanganye she is happy.

Happiness and satisfaction to us is the sum of a number of factors which are emotional, financial and sexual.

Pia, huwezi kosa hela na ufeli chumbani aisee afu uwe full malavi davi ma romance. Hiyo equation haija balance aisee.

Ndo hapo mnaambiwaga mjiongeze mnamaindiiiii😛😛

Natamani kujua maana ya kuridhika inayozungumzika hapa.

Tusizungumzie kwa mwanamke tu bali hata kwa mwanaume..

Kuridhika ni furaha katika mahusiano! Je siku akikukerwa ni moment zote hiyo furaha itakwepo!.

Ok, factors zipo nyingi financial,kitandani,emotion n.k. ni kweli kuna mwanamke/mwanaume anayetimiziwa the full package.

Au aliye na changamoto chache ndiye ataridhika na aliye na nyingi hata ridhika?
 
Tendo la kuridhika siyo Permanent.....WANAWAKE NI WATU WA MOOD HISIA ZAKE ZIAWEZA KUMTUMA KWA MWANAMME MNENE NA WEWE ULIYENAE NI KIMBAUMBAU!....ASIPOKUHURUMIA NA KUKUHESHIMU( amelambwa)...
"Kuridhika" ni suala pana saana mzee.

Unaweza ukaridhika na Nyumba ila usiridhike na samani zilizopo au na sewage system au bulb au hata crack za nyumba.
 
"Kuridhika" ni suala pana saana mzee.

Unaweza ukaridhika na Nyumba ila usiridhike na samani zilizopo au na sewage system au bulb au hata crack za nyumba.
Yaani ndiyo hivyo!...Mungu ametuumbia Tamaa binadamu wote kwa Usawa sasa kuihimili ni wewe muhusika na skills zako za kuishinda tamaa ili uridhike!!...
 
Jamani tutofautishe kuridhika na Kuheshimiwa......Ila mimi ninavyohisi Wanawake hawaridhiki ila wanatuheshimu tu na kutufanyia staha na kuhurumiwa tu...Na sisi Huwa tunajidanganya tunawaridhisha kwa kila kitu...Hamna ni Heshima na Huruma tu ndiyo inatawala
Why watuonee huruma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom