Mwanamke anaridhishwa na nini?

Mwanamke anaridhishwa na nini?

Natamani kujua maana ya kuridhika inayozungumzika hapa.

Tusizungumzie kwa mwanamke tu bali hata kwa mwanaume..

Kuridhika ni furaha katika mahusiano! Je siku akikukerwa ni moment zote hiyo furaha itakwepo!.

Ok, factors zipo nyingi financial,kitandani,emotion n.k. ni kweli kuna mwanamke/mwanaume anayetimiziwa the full package.

Au aliye na changamoto chache ndiye ataridhika na aliye na nyingi hata ridhika?
Hapana. Kupata full set ni bahati na ndo maana kuna kuvumiliana.

Ngoja nikuambie from my perspective as a woman. If I have a man I love, hana hela but ananiheshimu na kunijali I am content with the little he brings to the table.

On the other hand, if I have a man who is loaded but takes me for granted.... doesn't try to connect with me emotionally, I am doomed and we won't last because I would feel unwanted.

Again, if a man humps the stars out of me.... and that is just about it, no love and doesn't provide for me.....its again a NO for me.

It may seem complicated but its very very simple.
 
Baada ya kushaoa chagua lako sahihi ,fanya hili ---- Mpe mashine yamaana ..yaaan piga mashine ..piga mashine ,sugua kila kona!.

Hatokaaaa kuruka !! ..... Alafu mjali tena jali mambo yakawaida ila jua namna yakumjali.

Shida inakuja pale mnapoamin kumpa mwanamke pesa umemaliza au kusukuma ndani nje umemaliza mweeee !!.
Umeshaoa au unaandika utopian thinking?
 
1.kujari
2.kujiamini
3.kuwa na uwezo kitandani
4.kuwa muwazi
5.mawasiliano ya Mara kwa Mara


Ukitimiza yote haya ,women will love you
Kuwa muwazi sana kwa mwanamke haiwezekani
 
Hamna kitu kimoja kinachomridhisha mwanamke.

Huwezi kuwa na hela afu kutwa visa kwa mkeo ujidanganye hatakuacha.

Huwezi kumhudumia mkeo afu kitandani sifuri na ujidanganye she is happy.

Happiness and satisfaction to us is the sum of a number of factors which are emotional, financial and sexual.

Pia, huwezi kosa hela na ufeli chumbani aisee afu uwe full malavi davi ma romance. Hiyo equation haija balance aisee.

Ndo hapo mnaambiwaga mjiongeze mnamaindiiiii😛😛
Mko very complicated. Hamtabiriki kabisa
 
Why watuonee huruma?
Unauliza jambo ambalo lipo wazi!?...Huruma inaletwa na wewe Mwanaume akikuona Unavyochacharika kumfanya awe na wewe Njia moja lkn anajua kabisa Hakuna kitu unafanya isipokuwa hewa tu.....anaamua kukuheshimu kwa juhudi zako tu lkn humridhishi kwa kitu chochote!
 
Sawa lakini kwenye mapenzi hayohayo kuna kitu kinaitwa upendo
My only question is...

Je, ni kweli wewe shunie unaweza kuridhishwa na mwanaume katika maisha kwa kupata hivyo ulivyovitaja tu? Pesa, upendo na heshima?

maisha ya mapenzi yana mengi vingine ni vidogo vidogo ila utaviona havina maana... na vitakufanya uwe mwanamke usiyeridhika.

ndugu zake,muonekano wake, elimu yake, anavyokula, anavyowatreat ndugu zako na jamaa zako,ongea yake,kazi yake, na mengine madogo madogo ila yanamchango katika kuridhika kwako katika maisha.
 
Umeshaoa au unaandika utopian thinking?
Sijaoa ila sababu mimi ni mwanamme .

Unajua sifa ya mwanamme ????.

Mwanamme niyule mwenye uwezo wakusoma hitaji LA moyon kwa mwanamke wake bila hata mkewe kulisema !!.

Mwanamme nilazima ujue hitaji LA Mwanamke wako hata km amefumba mdomo .
 
My only question is...

Je, ni kweli wewe shunie unaweza kuridhishwa na mwanaume katika maisha kwa kupata hivyo ulivyovitaja tu? Pesa, upendo na heshima?

maisha ya mapenzi yana mengi vingine ni vidogo vidogo ila utaviona havina maana... na vitakufanya uwe mwanamke usiyeridhika.

ndugu zake,muonekano wake, elimu yake, anavyokula, anavyowatreat ndugu zako na jamaa zako,ongea yake,kazi yake, na mengine madogo madogo ila yanamchango katika kuridhika kwako katika maisha.
Nimekuelewa sana mapenzi yana vitu vingi mnooo tukianza kuchambua kila kitu hapa hatutamaliza baba angu halaf nakujua sana kwa kujenga hoja acha nilalale mtoto wako heinken zipo kichwani sio akili yangu tutaonana kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom