Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Yaani kwa akili na hisia zangu zooote nilijuaga DJ sepetu ni Mwanaume sio siri.Sasa kama wewe mwanamke umeshindwa kujua sisi tutajuaje..rubbish kabisa
Yaani kwa akili na hisia zangu zooote nilijuaga DJ sepetu ni Mwanaume sio siri.Sasa kama wewe mwanamke umeshindwa kujua sisi tutajuaje..rubbish kabisa
Ili mke aridhike ni lazima.....Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware
Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware
Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
Kama halizishwi hizo hizo hela wanatafutwa wanaojua kumridhishaMkuu
Nampa hela
Nampa hela
Nampa hela tu
Nampa hela tu na Nampa hela..
Ndio upate wa kukukojoza sasa mshipa usiku mwemaUpendo sawa ila msipokojozwa mnalalamika sana
Kwa hiyo basi anaridhishwa na nini? Me/ke.Kama halizishwi hizo hizo hela wanatafutwa wanaojua kumridhisha
DJ ,Love and respect!
Mfanye rafiki kwanza!
Kisha mpenzi!
Muelewe kwa undani!
Mfurahishe kwa MANENO mazuri/ mazuri
Ridhika na jitihada ,zake. za kukufurahisha
Msifie,msaidie kazi ndogondo!
MPE maloveee
Ntarudi...
Nani aliyekwambiaWako mabilionea na bado wanapigiwa na wasio nazo.
Kutwa kwenye mitandao muda hata wakuongea na wenza wao hakuna , ingekuwa pesa basi masikini wasinge pata wapenzi, unaweza kuta mme ina pesa kibao lakini mke anahangaika mtaani pesa huja baadaye watu wasijidanganyeDJ ,
Pesa ni sehemu tuuu ya maisha
Hata wanawake wanaweza kutafuta!
Kuwa na muda nae wakuchati kuongea,kupiga simu!
Mshirikishe baadhi ya mambo yako ya kimaendeleo!
Vizawadi vidogo vidogo
Some outing kidogo
Don't expect too much from her!
Muamini!.
Msamehe anapokosea!
Muelekeze kwa upole anapokosea
MPE heshima mbele za watu
.........,
..........maisha sanaaa kamwe haifi ,kuwa mbunifu usikariri mambo,asha,sio amina ,esta sio rose!
Nani aliyekwambia
Unajidanganya labda wale wakupita lakini wakidumu anahitaji upendo na umjali kuwa karibu na n.kWanawake wanaridhishwa na pesa tu!
mkuu wewe ndio umefunga mjadala,but mwanamke kuridhika kabisa akakinai na unavyomfanyia 95% si kweli ila huwa wana pretend tu wameridhika na sisi,Jamani tutofautishe kuridhika na Kuheshimiwa......Ila mimi ninavyohisi Wanawake hawaridhiki ila wanatuheshimu tu na kutufanyia staha na kuhurumiwa tu...Na sisi Huwa tunajidanganya tunawaridhisha kwa kila kitu...Hamna ni Heshima na Huruma tu ndiyo inatawala
Yaani we acha!Kutwa kwenye mitandao muda hata wakuongea na wenza wao hakuna , ingekuwa pesa basi masikini wasinge pata wapenzi, unaweza kuta mme ina pesa kibao lakini mke anahangaika mtaani pesa huja baadaye watu wasijidanganye
Hakuna hata kuinjoy na mme muda woote ni laptop zao unajiuliza huko kazini huwa unafanya nini kutwa upo huko masaa tu machache kukaa na mke huwezi ni afadhali hata wakijijini kuliko hawa wamjini shida tupu, sasa awe anajiendeleza kimasomo tujakomaje!Yaani we acha!
Hata akija home yuko na simu!
Yuko online what's up, lakini msg zako read anda delivered hazikibiwi ,lakini yuko typing!
Akirudi home yuko na simu!
Hata kugegeda nooo romance,
........ni shidaaaaa!
Akiwa na mihela anawaza miradi na warembo tuu!
kama huamini subiri tu muda utasema.Una uhakika?