kwa uelewa wangu sio mwanamke tu bali binadamu yeyote kiasili haridhiki hadi aamue kuridhika mwenyewe.Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware
Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
Umeeleza vizuri vp helaLove and respect!
Mfanye rafiki kwanza!
Kisha mpenzi!
Muelewe kwa undani!
Mfurahishe kwa MANENO mazuri/ mazuri
Ridhika na jitihada ,zake. za kukufurahisha
Msifie,msaidie kazi ndogondo!
MPE maloveee
Ntarudi...
Sawa mkuu nimekuelewakwa uelewa wangu sio mwanamke tu bali binadamu yeyote kiasili haridhiki hadi aamue kuridhika mwenyewe.
kuridhika si ndiko kutokuwa na uhitaji wa kitu kile kile ulichonacho/unachokipata?
Tunapambana kupata tusivyo navyo tukishavipata na tukawa na uhakika wa kubipata tunatafuta vingine.
,fanya hili ---- Mpe mashine yamaana ..yaaan piga mashine ..piga mashine ,sugua kila kona!.Kuridhika ni kutokuhitaji vilivyo nje yako.Sawa mkuu nimekuelewa
Ina maana mwanamke hawezi ridhika hadi atake yeye! Ktk ndoa
Jifanye unawajua hao watu Utashangaa!!!......Ni kuomba Mungu Tu!!Love and respect!
Mfanye rafiki kwanza!
Kisha mpenzi!
Muelewe kwa undani!
Mfurahishe kwa MANENO mazuri/ mazuri
Ridhika na jitihada ,zake. za kukufurahisha
Msifie,msaidie kazi ndogondo!
MPE maloveee
Ntarudi...
Swadakta ila nasikia kama hafiki kileleni ina kuwa ngumu sana kumridhishaKuridhika ni kutokuhitaji vilivyo nje yako.
Je ni kweli kuna mwanamke/mwanaume asiyetamani hata lepe lililonje ya alivyo navyo au anavyovipata?
Kule kutamani tu tayari ni kutokuridhika na ulichonacho.
Sasa ambaye ataweza kutamani asikitafute alichotamani huyu ameamua akilini kuridhika kwa namna hiyo.[ni wachache wenye kuweza hili ndiyo maana ndoa zimejaa uchepukaji]
Mkuu kazi nyingine zitafanyika kweli? Au viwanda vimehairishwa kujengwaLove and respect!
Mfanye rafiki kwanza!
Kisha mpenzi!
Muelewe kwa undani!
Mfurahishe kwa MANENO mazuri/ mazuri
Ridhika na jitihada ,zake. za kukufurahisha
Msifie,msaidie kazi ndogondo!
MPE maloveee
Ntarudi...
Tendo la kuridhika siyo Permanent.....WANAWAKE NI WATU WA MOOD HISIA ZAKE ZIAWEZA KUMTUMA KWA MWANAMME MNENE NA WEWE ULIYENAE NI KIMBAUMBAU!....ASIPOKUHURUMIA NA KUKUHESHIMU( amelambwa)...kwa uelewa wangu sio mwanamke tu bali binadamu yeyote kiasili haridhiki hadi aamue kuridhika mwenyewe.
kuridhika si ndiko kutokuwa na uhitaji wa kitu kile kile ulichonacho/unachokipata?
Tunapambana kupata tusivyo navyo tukishavipata na tukawa na uhakika wa kuvipata tunatafuta vingine.