Mwanamke anaridhishwa na nini?

Mwanamke anaridhishwa na nini?

Sijaoa ila sababu mimi ni mwanamme .

Unajua sifa ya mwanamme ????.

Mwanamme niyule mwenye uwezo wakusoma hitaji LA moyon kwa mwanamke wake bila hata mkewe kulisema !!.

Mwanamme nilazima ujue hitaji LA Mwanamke wako hata km amefumba mdomo .
Duh! Wewe utakuwa nabii
 
Kama utaki jiandae kwa mengine
Hata uwafanyie nini kujiandaa na Mengineyo ndiyo jambo la kwanza.....Hela unatoa na mapenzi unajitahidi kufanya lakini ana bwana yake anamchekesha mno muuza viazi mviringo pale Tandale sokoni......!Utakufa au uta poo poo au Utahama Dunia?...Hakuna kuridhika hapa Duniani ni ujanja janja tu!
 
Mmh! Some true
 
Hapana. Kupata full set ni bahati na ndo maana kuna kuvumiliana.

Ngoja nikuambie from my perspective as a woman. If I have a man I love, hana hela but ananiheshimu na kunijali I am content with the little he brings to the table.

On the other hand, if I have a man who is loaded but takes me for granted.... doesn't try to connect with me emotionally, I am doomed and we won't last because I would feel unwanted.

Again, if a man humps the stars out of me.... and that is just about it, no love and doesn't provide for me.....its again a NO for me.

It may seem complicated but its very very simple.
Got you,
kwa hiyo hakuna anayeweza kupata kila kilicho ila akipata angalau karibia na vyote akavumilia anaweza kuitwa karidhika.

I challenged you. As life/love's life goes up and down. You can be content now and later be deep down in trenches.

wengi/kwangu I'm content but never satisfied.

Thank you.
 
Kiungo kikubwa kwa mke ni pesa fanya mbwembwe zooote lakin uskose pesa .Ukitaka kulijua hili fatilia maisha ya wanandoa ambao wameishi kwa upendo mkubwa mapenzi hasa, kudekezana kwa kila haina halafu pesa zikatoweka then angalia nn kilifata ndani ya nyumba ,utapata jibu.
 
Nimekuelewa sana mapenzi yana vitu vingi mnooo tukianza kuchambua kila kitu hapa hatutamaliza baba angu halaf nakujua sana kwa kujenga hoja acha nilalale mtoto wako heinken zipo kichwani sio akili yangu tutaonana kesho
Teh... haya mama usiku mwema.
 
There you go Karucee with your Wisdom.

Hapana. Kupata full set ni bahati na ndo maana kuna kuvumiliana.

Ngoja nikuambie from my perspective as a woman. If I have a man I love, hana hela but ananiheshimu na kunijali I am content with the little he brings to the table.

On the other hand, if I have a man who is loaded but takes me for granted.... doesn't try to connect with me emotionally, I am doomed and we won't last because I would feel unwanted.

Again, if a man humps the stars out of me.... and that is just about it, no love and doesn't provide for me.....its again a NO for me.

It may seem complicated but its very very simple.
 
Hii kitu ngumu Mkuu, inategemea ntu na ntu. Wengine kama alivyosema Karucee wana mapesa kede kede lakini bado vidosho vyao vinavuliwa picchu na wasio nazo kisa nini mwenye pesa hamjali hamuonyeshi mapenzi.

Mkuu, tumuulize Karucee, ana uhakika na alichokiandika?

Hajamuona mwenzie Joyce analia lia mumewe hana pesa
 
Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware

Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
Kama wewe ni mwanaume....
Unapaswa kujua basic needs kwa mkeo aiseeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom