Mwanamke anaridhishwa na nini?

Mwanamke anaridhishwa na nini?

Akiikubali mashine atakuambia mwenyewe,tena hapo hapo kwenye game kabla halijaisha. Wengi wetu hatujui kutumia kisawasawa kiungo hiki. Sio kwamba eti una pump usiku kucha no. Pump kwa ufundi,utakuta respect inaanzia hapo hapo mengine nyongeza na kutumia akili zetu.
 
Mwanamke atabiriki leo atakuwa dem wako kesho utashangaa ni shemeji yako ukileta utani mara paap ni mama yako mdogo mzee wako anaongeza mke
 
mwanamke haridhiki kamwe hata usage na kukoboa kama punda .na bado ataenda kuliw nje.so fany kile unachoweza ww
 
Nakubaliana na anayesema suala la mwanamke kuridhika inategemea na nini kipo kwenye moyo wake wakati huo.Kilichomfurahisha jana usikariri kuwa na leo atakifurahia.Usijidanganye mwanamke ni kiumbe wa hisia hakuna jambo mahususi la kumridhisha.Anaridhika na kinacho ufurahisha moyo wake,utajuaje ndipo uwe mjuzi wa lugha ya hisia ili ujue kipi atapenda na kwa wakati gani.Kumbuka mwanamke anafanya ngono kwa kuonesha mapenzi(sio makahaba)tofauti na mwanaume anaye fanya ngono ili kumaliza hamu zake tu.Mapenzi kwa mwanamke ni mwili wake mzima wakati kwa mwanaume ni mapenzi ni ngono.
 
Muheshimu na uwe free pale unapokuwa nae cyo kujiiba iba ukiwa nae hauna Aman kabisa kw mambo y kipuuz unayo fany nnje na unakuwa hauna Aman hat na cm yko be free kila kitu weka wazi
 
Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware

Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
PESA tu...ndio wanapenda....
 
Eti mwanamme huwe na hela ndo Mke/mpenzi atatulia!! Kakudanganya nani? Mwanaume define unataka nini kwa hiyo mwanamke. Kama ni watoto, sex (realtime sex), etc. then ukishavipata Fanya mambo yako ya kujiongezea kipato. Vinginevyo utakuwa mtumwa wa hiyo mwanamke
 
Kila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware

Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?


PESA TU, ingawa HATA SIKU MOJA HAWATAKUAMBIA, WANAJIFICHA, UKIZIKOSA UTAAMINI NACHOKWAMBIA!!!
 
Jaribu kukaa nae mbali,japo hutaamini hili,lakini upuuzi kwao hauishi,ili aridhike mpe mda wa kufanya yake ajuavyo.Kamwe usijidanganye ni wako,we ishi nae tu kama mtu wa kukupa company,timiza wajibu wako tuuuuu.Ukibahatika atalitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom