Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Umasikini ndio driving factor inayowafosi wanawake wengi kuingia kwenye ndoa wachache sana wenye kujua maana ya ndoa.
Thus akipata au akikosa uchumi uchumi lazima atafute chokochoko.
 
Kuna bidada anamaokoto kama yote, bidada mu heiress, halafu hana makuu dada wa watu, ana mipaja kama yote, mtako ule wa kumimina ukamiminika wa kuonekana kutoka mbele kama wa muhabeshi, halafu bidada kamng'ang'ania mchizi wa kawaida tu, halafu mchizi hata hamuelewi.

Yani hiyo case imenifanya nione theory yako haija fit na data.
We nae akili yako nzito kuelewa.. papai moja weye.. huyo mwanamke kuna mtu anamlia pesa zake kisha anamtafuta jobles kama huyo rafiki yako
 
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.

kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.

Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza.

Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato.
Sio wote lakini baadae wengine hubadilika!!

Waliowengi Wana hofu ya kukabili nyakati zijazo wakiwa wenyewe hivyo wanahitaji mtu atakaejitoa mhanga kwa ajili yake!!

Wengine hofu ya kukosa mwenzi na umri unaenda!!

Wengine fedha Ili kukidhi mahitaji na ndoto zao wakaishatimiza TU sarakasi huanza aiseh!!!

"Alikua mpole sana,akinisikiliza Kwa Kila kitu,alipoona amepata pa kuishi na watoto anao akaanza ubinafsi was kuchagua nani was kuishi na kutoishi pale nyumbani"anafunguka mpiganaji mmoja ninaefaham!!
 
Haya ndio yalimfanya rafiki yangu chinga aka chagamba kuomba afu tatu kutoka kwa yule Binti wa mwanza kweli asio kupenda achana nae skuizi naishia ku like tu 😂😁
We jamaa!huwa hawatoi,ukiona wanatoa Hela ujue wanarahisisha uhitaji wao ukamilike haraka sana!wakishapata tu wanaanzisha ubinafsi!!

"Fanya lolote unachoona no sahihi"alisikika jamaa akimuambia manzi yake baada ya manzi kuingiziwa fedha fulani hivi!!
 
Wanawake wanao penda kweli na wasio omba hela wapo ila wachache mno,sizani kwenye kizazi cha sasa kama wanazidi asilimia tano na kuwapata shughuli.

Halafu sio kwamba hawezi kuwavumilia wana wasio na kipato kikubwa au wanajitafuta wanaweza ,ila kinacho waponza tamaa na kupenda mambo makubwa.

Hawa mademu na maslay Queen wanao trend social networks kwa kupenda mambo makubwa,kuna wana kitaa wanawagonga bila kutoa hata shilingi kumi na unaweza ukakuta demu ndiye anaye muhonga. Hata hawa malaya kuna wahuni wanawagonga bila kutoa senti nishashudia bro mmoja kitaa,demu wake alikuwa anajiuza,jamaa alikuwa akienda kwa demu anapikiwa, anafuliwa ila jamaa alikuwa hatoi hata senti.
 
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.

kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.

Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza.

Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato.

:AlizeePLS: :AlizeePLS: :AlizeePLS::AlizeePLS:
Of course mapenzi huwa yana ambatana na pesa kidogo.. ushahidi wa ilo kwenye vitabu vitakatifu tunafahamishwa kuwa ili uwe tayari kuwa na mwenzako inatakiwa uwe na uwezo wa kumtoshereza ilo la kwanza lakini pia tumeshauliwa kuwa na wanawake wenye Dini ndani Yao hiyo itatusaidia katika zile nyakati ngumu ambazo mwanamke wa wavuvi Kempu anachilimba nduki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.

kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.

Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza.

Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato.

:AlizeePLS: :AlizeePLS: :AlizeePLS::AlizeePLS:

Hasa dada zao kina mekuu.
 
Back
Top Bottom