Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Nakumbuka baba yangu alisimamishwa kazi kipindi niko form two.Mama yangu alisimamia show zote.Japo na yeye alifanya vibaya kwa kutupa mahitaji yeye na sio Baba kama awali.

Ni kiri baba alipata mke mzuri mwenye heshima,Nilishuhudia baba akipewa pesa aende bar akanywena rafiki zake.

Wanawake wa siku hizi hawana maana,hata wangu nilienae namuangalia tu kuna kipindi mambo yangu yaliyumba nikaona vidharau flan hivi.
 
Huyo alisimama kama mama halisi na mke bora kwa baba yenu. Mambo hubadilika, ila aliamua kusimamia nafasi yake. Hongera kwake
 
Nilikuja kupata kazi kampuni nyingine kwenye Mradi wa Bwawa la Rufiji. Nilijiapiza kupiga kazi kwa uchungu sana. Nimefanya kwa takriban
Yaani nilipoa anza kusoma hapa, moyo ukalipuka paa kwa furaha as if ni mimi sasa 😂. Hongera sana mkuu.
Mipango ya Mungu si ya binadamu na mimi naamini kabisa huyo hakua mke wako kwa namna yoyote ile.
Huwa namweleza mke wangu pia, no matter tumeishi miaka mingapi pamoja, kama haikupangwa na Mungu tuwe wote tutaachana tu ili kila mmoja aje kupita kwenye njia aliyo andikiwa.
Hongera sana kwa mara nyingine
 
Asante sana mkuu. Life linasonga namshukuru Mungu
 
Haujatupa follow-up ya hii shule: uhusiano wenu kwa sasa, malezi ya mtoto, n.k.
 
Back
Top Bottom