Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

Una hamu ya kuPMiwa tu, huna lolote. Mimi nimekunywa pombe za kutosha na sijawahi kuharibu nikiwa nimelewa. Usichanganye mtu kutake advantange ya mwanamke kupoteza uwezo wa kureason under the influence na kukubali kugegedwa kwa matashi yake.

Wewe unasubiri umleweshe mwanamke pombe ndio kumDO lazima una matatizo makubwa; kwamba mwanamke akiwa sober hawezi kukubali kuwa na wewe au?

Dada ni research....soma vizuri inatakiwa tuje na majibu baada ya......
 
Eh.! Nshakua mdaku tena. Okay. Basi sawa. Maaana sijakuomba mimi nikupe pombe wewe ndo umeomba alafu unakasirika... kweli wewe mlevi.

umepooza mwenyewe.........The Macallan at work kakangu!!!!
 
hahahahahahaha!malkia umembwanda!sasa kama unajiamini hakuna kitakachotokea si uende halafu utarudi kwa mumeo salama?
Kisu kimegusa mfupa!
,hata hivo hakuna dume lenye uwezo wa kunifanyizia mimi,
mimi ni mama wa vijiwee,popote pale natamba,magumegume mbona huwa yanakoma na mie??tena popote pale napotimba,,wanaume wenyewe siku hizi wana nini??wanaume suruali..!!hawapendezi kwa kata kei zaooo,,hata tai za mitumba ya kariakoo,,lol

mimi nina mume wangu kwanza utamtaka??

Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa 'suria'... akamnywesha demu mbege nusu kindoo... saa saba za usiku demu alipoona mbege imeisha akavunja mlango akaenda zake hom

Nyiikdia mmekuu...
 
,hata hivo hakuna dume lenye uwezo wa kunifanyizia mimi,
mimi ni mama wa vijiwee,popote pale natamba,magumegume mbona huwa yanakoma na mie??tena popote pale napotimba,,wanaume wenyewe siku hizi wana nini??wanaume suruali..!!hawapendezi kwa kata kei zaooo,,hata tai za mitumba ya kariakoo,,lol

mimi nina mume wangu kwanza utamtaka??

malikia upo juu, juu ka dushelele lililosimama, khaaaaaaaaaa! huyo mumeo ndiye yule handsome mjini, ambaye watu hawalali, kutwa kumtafuta yeye?
 
Wewe umezoea wanawake wa baa.....BTW wanawake wote wanywaji sio lazima wapatikane baa
 
Mwanamke yeyote akishakunywa pombe akiwa na mwanaume uwezo wake wa kumkatalia huyo mwanaume kwenda kumpiga dushelele unakua mdogo sana.....anakua rahisi sana kudanganywa......na huwa wanajuta sana kesho yake baada ya kujikuta yuko kitandani na jamaa ambaye hakuwa na mpango wa kumpa K.

Kama kuna demu anayebisha ajaribu ku M-PM mwanaume yeyote hapa JF , ata ikiwamimi..weekend hii nikakupe kinywaji alafu urudi hapa utoe ushuda baada ya pombe nini kilifuatia au kesho yake asubui ulijikuta wapi.

Wadada msiniangushe jamani.. nisaidieni nimalizie hiii reserch yangu.

Wajinga ndio waliwao..n
trust me wengi wao huwa wameridhia na c vinginevyo
 
malikia upo juu, juu ka dushelele lililosimama, khaaaaaaaaaa! Huyo mumeo ndiye yule handsome mjini, ambaye watu hawalali, kutwa kumtafuta yeye?
utamtaka??najilia zangu kwa nakshi nakshi mie,,
vipi bidada wataka kunipokonya??kijana anayajua mambo,mara oooh eti ni mtoto mdogo,sijui kilikwenda kikarudi,,bibi eeh mtoto kwako eeh,,kwetu sisi ni mkubwa mwenzetu,,upo...!!?
 
malikia upo juu, juu ka dushelele lililosimama, khaaaaaaaaaa! huyo mumeo ndiye yule handsome mjini, ambaye watu hawalali, kutwa kumtafuta yeye?

Cacico nimekupenda bure tu maana hujakataaa wala hujakubali......ila hii ndio nimeisikia kwako kwa mara ya kwanza
 
Haina mtaji mkubwa ni rahisi kufanywa lkn haina heshima ndani yake.
Na kwa TZ inamsamaha wa ushuru!

Na ndio maana naipenda. Maana naipata hii bidhaa kirahisi.. sio nyie wa sijui twende kwa mlimani city..., sijui nataka iphone... hate that...
Nipe bizaa, nakupa ela... hatujuani.
 
malikia upo juu, juu ka dushelele lililosimama, khaaaaaaaaaa! Huyo mumeo ndiye yule handsome mjini, ambaye watu hawalali, kutwa kumtafuta yeye?
nadhani unamjuaa,ni handsome boy mjini,wengi wanamgombania,amewapiga na chiniiii...!!
 
utamtaka??najilia zangu kwa nakshi nakshi mie,,
vipi bidada wataka kunipokonya??kijana anayajua mambo,mara oooh eti ni mtoto mdogo,sijui kilikwenda kikarudi,,bibi eeh mtoto kwako eeh,,kwetu sisi ni mkubwa mwenzetu,,upo...!!?
mtoto kwani una card lake la clinic??? wakuwacheeeeeee malkia upumuwe........!! kwa raha zako mamito! mtu una kituo mwananyamala, na kitovu chako kimezikwa ocean road, utajifananisha na masanamu toka mlalo lushoto, walikuja na nywele 5, leo wamejua kuvaa ma-lace wig, basi hatuna pakususulia! lol! kwa raha zako mamito!
 
Back
Top Bottom