MwanazuoniMJ
Member
- Nov 28, 2012
- 66
- 30
Jamaa anataka kuuziwa mechi kirahisirahisi
Nami niliwahi sikia, wadada wasio kunywa pombe ni chupi mkononi; kwani hawana starehe
nyingine zaidi ya kupanua mapaja!
utakuta paloma mwenyeji wa kaskazini ...mabinti wa pande zile anaweza kunywa hata kreti ya safari bado yuko mkavu kuna jamaa yangu ashawahi kuiabika....kachukua demu amzime mwisho wa siku kazime yeye .....mtoto yuko ngangari jamaa ndiyo anakokotwa
:smile: ha :smile: ha :smile: hahahaahaaaa!
Ina ukweli zaidi ya aslimia 100....we kwa nini kama unamtoke demu ukisikia hanywi pombe unakata tamaa.......kwa kuona ugumu ulioko mbele yako.:smiling:
Mwanaume ataemchukua huyo ana kesi ya jinai KUBAKA!
Hujakutana na walipia pombe....Hamna lolote!!
Tena uongo mkubwa, ukubali kugegedwa hivihivi kisa pombe? labda uwe umeamua tu ulewe ili ugegedeke vizuri.
umetisha hapo kwenye red!
Ushakunywa sminorf kadhaa za watu halafu uje useme umebakwa...?? Hiyo kesi hafungwi mtu