Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

Kuna ukweli kwani binadamu anapokuwa amelewa uwezo wake wa kufikiri unapungua kiasi wengine sana, both side wanaume nao tamaa za ngono juu na wanawake mihamko juu
 
Wanawake wengi huwa hawakubaliani na hili wanapokuwa hawajanywa lakini nimeshashuhudia au kusikia matukio zaidi ya 20 yanayoonyesha kuwa wanawake wakishalewa hupatikana kirahisi sana,sijui labda logic hapa inaweza kuwa wanaume nao wanapokuwa wamekunywa uwezo wao wa kutongoza huwa unaongezeka maradufu hivyo wanawake waliokunywa hushindwa kuwachomolea.:shut-mouth:
 
Sasa kama kuku wako bado unamnyatia hivyo maana yake nini?

Sasa kama mpaka alewe ndio umpate kuna tofauti gani na kubaka?
 
ur rit kabisa me sinywi pombe ila nishasikia mara nyingi hata wanaume wanapenda wanawake walevi coz inakuwa rahisi kuwapata.
 
SIO WOTE,
Sasa some of us, tunapick mwanaume wa kutoka naye. Lazima awe mstaarabu, anayejiheshimu, gentleman na lady hatakiwi kulewa. In rare occasions kama parties basi a gentleman can take you home na akahakikisha umefika salama. Hivyo bado naweza bisha, na siwezi toka na a total stranger hivyo siwezi mPM any man!

Thats my girl,thank you
 
ur rit kabisa me sinywi pombe ila nishasikia mara nyingi hata wanaume wanapenda wanawake walevi coz inakuwa rahisi kuwapata.

Nami niliwahi sikia, wadada wasio kunywa pombe ni chupi mkononi; kwani hawana starehe nyingine zaidi ya kupanua mapaja!
 
Nami niliwahi sikia, wadada wasio kunywa pombe ni chupi mkononi; kwani hawana starehe nyingine zaidi ya kupanua mapaja!

Haya bishana na hiyo..sio kila kitu mnabisha tu ...tena nyie mnaobisha ndio kabisaa ..

Alcohol and sex in womenIn many women, alcohol increases sexual arousal and desire, although it does lower the physiological signs of arousal.[SUP][10][/SUP] Women have a different response to alcohol intoxication. Studies have shown that acute alcohol consumption tends to cause increased levels of testosterone and estradiol.[SUP][11][/SUP][SUP][12][/SUP] Since testosterone controls in part the strength of libido on women, this tends to cause an increase in interest in sex. Also, because women have a higher percentage of body fat and less water in their bodies, alcohol can have a quicker, more severe impact. Women's bodies take longer to process the alcohol which often takes one-third longer to eliminate the substance.[SUP][2][/SUP]
Sexual behavior in women under the influence of alcohol is also different from men. Studies have shown that increased BAC is associated with longer orgasmic latencies and decreased intensity of orgasm.[SUP][10][/SUP] Some women report a greater sexual arousal with increased alcohol consumption as well as increased sensations of pleasure during orgasm. Because ejaculatory response is visual and can more easily be measured in males, orgasmic response must be measured more intimately. In studies of the female orgasm under the influence of alcohol, orgasmic latencies were measured using a vaginal photoplethysmograph which essentially measures vaginal blood volume.[SUP][10][/SUP]
Psychologically, alcohol has also played a role on sexual behavior. It has been reported that women who were intoxicated believed they were more sexually aroused than before consumption of alcohol.[SUP][10][/SUP] This psychological effect contrasts with the physiological effects measured, but refers back to the loss of inhibitions because of alcohol. Often alcohol can influence the capacity for a woman to feel more relaxed and in turn, be more sexual. Alcohol may be considered by some women to be a sexual "disinhibitor".[SUP][10][/SUP]
 
umepooza mwenyewe.........The Macallan at work kakangu!!!!

Paloma.......Alcohol and sex in womenIn many women, alcohol increases sexual arousal and desire, although it does lower the physiological signs of arousal.[SUP][10][/SUP] Women have a different response to alcohol intoxication. Studies have shown that acute alcohol consumption tends to cause increased levels of testosterone and estradiol.[SUP][11][/SUP][SUP][12][/SUP] Since testosterone controls in part the strength of libido on women, this tends to cause an increase in interest in sex. Also, because women have a higher percentage of body fat and less water in their bodies, alcohol can have a quicker, more severe impact. Women’s bodies take longer to process the alcohol which often takes one-third longer to eliminate the substance.[SUP][2][/SUP]
Sexual behavior in women under the influence of alcohol is also different from men. Studies have shown that increased BAC is associated with longer orgasmic latencies and decreased intensity of orgasm.[SUP][10][/SUP] Some women report a greater sexual arousal with increased alcohol consumption as well as increased sensations of pleasure during orgasm. Because ejaculatory response is visual and can more easily be measured in males, orgasmic response must be measured more intimately. In studies of the female orgasm under the influence of alcohol, orgasmic latencies were measured using a vaginal photoplethysmograph which essentially measures vaginal blood volume.[SUP][10][/SUP]
Psychologically, alcohol has also played a role on sexual behavior. It has been reported that women who were intoxicated believed they were more sexually aroused than before consumption of alcohol.[SUP][10][/SUP] This psychological effect contrasts with the physiological effects measured, but refers back to the loss of inhibitions because of alcohol. Often alcohol can influence the capacity for a woman to feel more relaxed and in turn, be more sexual. Alcohol may be considered by some women to be a sexual “disinhibitor”.[SUP][10][/SUP]
 
Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa 'suria'... akamnywesha demu mbege nusu kindoo... saa saba za usiku demu alipoona mbege imeisha akavunja mlango akaenda zake hom

Mkuu wewe ni noma, umeleta madhara kwa mbavu zangu,
 
Kweli aisee hasa nikinywa wine huwa yote inashuka chini ndomana sikati kilaji na mwanaume nisiyemjua au mwenye jisura baya ,mie mwendo wa visu tu ,tena kama men namtaka naenda naye kugida kuondoa aibu afu zikikolea namchombeza najua hawezi chomoa
 
haha
nasikia ukinywa pombe unakojoa kitandani...
 
Mwanamke yeyote akishakunywa pombe akiwa na mwanaume uwezo wake wa kumkatalia huyo mwanaume kwenda kumpiga dushelele unakua mdogo sana.....anakua rahisi sana kudanganywa......na huwa wanajuta sana kesho yake baada ya kujikuta yuko kitandani na jamaa ambaye hakuwa na mpango wa kumpa K.

Kama kuna demu anayebisha ajaribu ku M-PM mwanaume yeyote hapa JF , ata ikiwamimi..weekend hii nikakupe kinywaji alafu urudi hapa utoe ushuda baada ya pombe nini kilifuatia au kesho yake asubui ulijikuta wapi.

Wadada msiniangushe jamani.. nisaidieni nimalizie hiii reserch yangu.

Kuna wanawake wanakunywa mpaka liamba na ukimgusa tu hataki kabisa hiyo kitu siyo kwamba hapendi ila anajitambua kuwa pombe haiwezi kumfanya afanye jambo ambalo hajalipanga.
 
vipi aliwahi kukojoa kitandani baada ya gambe??

binafsi haijawahi nitokea, kukojoa ni tatizo la mtu........
haha
nasikia ukinywa pombe unakojoa kitandani...
 
hahahahh kumbe eeh?? heri siye wanywaji chupi kibindoni lol
Nami niliwahi sikia, wadada wasio kunywa pombe ni chupi mkononi; kwani hawana starehe nyingine zaidi ya kupanua mapaja!
 
Kweli aisee hasa nikinywa wine huwa yote inashuka chini ndomana sikati kilaji na mwanaume nisiyemjua au mwenye jisura baya ,mie mwendo wa visu tu ,tena kama men namtaka naenda naye kugida kuondoa aibu afu zikikolea namchombeza najua hawezi chomoa
Ayaaaaah!...mi naona utaaaaaaaam!...
 
Back
Top Bottom