Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

Una hamu ya kuPMiwa tu, huna lolote. Mimi nimekunywa pombe za kutosha na sijawahi kuharibu nikiwa nimelewa. Usichanganye mtu kutake advantange ya mwanamke kupoteza uwezo wa kureason under the influence na kukubali kugegedwa kwa matashi yake.

Wewe unasubiri umleweshe mwanamke pombe ndio kumDO lazima una matatizo makubwa; kwamba mwanamke akiwa sober hawezi kukubali kuwa na wewe au?

Kaaazi kweli kweli,mto uzi katoa challenge,sasa nyinyi msizodoe,ila inabidi mkubali kuishinda challenge kama kweli mwaweza kula gambe bila kugegedwa.......hizi khabari nyingine kwamba yeye anatka uslope wa kupata K nadhani ni ulterior motives,if he has any na ndio challenge yenyewe.............hapa mwanamke wa shoka ajitome alafu mje mtupe mrejesho nyuma.....bhaaaaaaaasi!

Ila kigezo kwa mtoa challenge........hakuna kubaka au kulazimisha,tunataka umshawishi tu kama kweli atakubali,we want her consent wakati anadevela devela!
 
Inawezekana aisee kwani kuna demu mmoja nikimwambia nimpe ofa ya kinywaji huwa anasema anaogopa kwani akilewa atataka kugegedwa na mimi ananiheshimu anaogopa kunikwaza. Halafu demu mwenyewe yupo sexy kinoma.

Mwambie aje kwangu mie ambaye haniheshimu!
 
Kwa Mwanamme si hivyo hivyo... Unaweza kujikuta umebeba mzigo usiouhitaji asbh yake... UKAJUTIA.. Hapo reserch inakuwaje?
 
,hata hivo hakuna dume lenye uwezo wa kunifanyizia mimi,
mimi ni mama wa vijiwee,popote pale natamba,magumegume mbona huwa yanakoma na mie??tena popote pale napotimba,,wanaume wenyewe siku hizi wana nini??wanaume suruali..!!hawapendezi kwa kata kei zaooo,,hata tai za mitumba ya kariakoo,,lol

mimi nina mume wangu kwanza utamtaka??

suala sio kufanyiziwa ila utatepeta mwenyeewe ukishakula vyombo vya kutosha!
mumeo tutaingia nae maridhiano ya hiyari,akiona beki hazikabi atachukua malkia wake mtasepa!
usiandikie mate
 
The great thinkers.....thank you sana.
 
Mtambuzi Asprin watu8 come please toeni muongozo kwa hii toto-ndogo inataka kuleta uthubutu wake wa kidakuz huku!!!
Hebu mweleze habari ya Brandy aina ya Govinder Kumar na Ram aina ya Contesa.
Hivi anaijua cocktail aina ya KAMIKAZE?
Basi mwambie hiki Kamikaze umeigonga kama vile unakunywa maji pale Leo Tupo Hapa Pub...!

Maana hiyo inachanganywa VODKA, GORDONS GIN, BACARD,JOHN WALKER na TEQUILER kisha unaweka barafu na soda aina ya Coca Cola.................
Paloma hebu mweleze huyo........
 
Last edited by a moderator:
Kaaazi kweli kweli,mto uzi katoa challenge,sasa nyinyi msizodoe,ila inabidi mkubali kuishinda challenge kama kweli mwaweza kula gambe bila kugegedwa.......hizi khabari nyingine kwamba yeye anatka uslope wa kupata K nadhani ni ulterior motives,if he has any na ndio challenge yenyewe.............hapa mwanamke wa shoka ajitome alafu mje mtupe mrejesho nyuma.....bhaaaaaaaasi!

Ila kigezo kwa mtoa challenge........hakuna kubaka au kulazimisha,tunataka umshawishi tu kama kweli atakubali,we want her consent wakati anadevela devela!

Wasamehe Laigwanani, ukiona hivyo yameshawakuta..au wengine leo asubui wamejikuta wako nyumba ya wageni....
 
Siajkuelewa Mtambuzi...inamaana huo mchanganyiko ndio unammalizaga nao Paloma au?
 
Haiwezekani wakawa wanawake wote bt ukisema baadhi hapo nitakupatia big YES.Juzi nilishuudia dada mmoja baada ya kua chakari akajikuta akimngangania mwaume asie mfahamu,ambae walikutana nae hapo bar na kweli kaka wa watu hakua na hiyana zaidi kwenda kumtimizia, ila kesho yake uyo dada alijisikitikia sana
 
Wasamehe Laigwanani, ukiona hivyo yameshawakuta..au wengine leo asubui wamejikuta wako nyumba ya wageni....

Nikiwa na mwanaume nimeamua na si kuwa under the influence. Pia inategemea unatoka na nani, lkn kama mtu anatoka na the likes of you lazima mtatake advantage.
 
Kaaazi kweli kweli,mto uzi katoa challenge,sasa nyinyi msizodoe,ila inabidi mkubali kuishinda challenge kama kweli mwaweza kula gambe bila kugegedwa.......hizi khabari nyingine kwamba yeye anatka uslope wa kupata K nadhani ni ulterior motives,if he has any na ndio challenge yenyewe.............hapa mwanamke wa shoka ajitome alafu mje mtupe mrejesho nyuma.....bhaaaaaaaasi!

Ila kigezo kwa mtoa challenge........hakuna kubaka au kulazimisha,tunataka umshawishi tu kama kweli atakubali,we want her consent wakati anadevela devela!

ndiyo hata mimi nashangaa .no one is dare to accept the challenge wanaishia kumpa za uso tu mtoa challenge.
kama kuna anayejiamini amPM sarikoki tu ,halafu watupatie mrejesho hapa
 
Aisee afadhali umelina hilo hata wewe asakuta same hapa nilipo karibu niko hoi kwa ninavyo pigwa mawe...balaa.
 
Nimekumbuka chuo kuna raia walitaka kumfanyizia demu mmoja kwa mtindo huo ili wampige mtungo, walikunywa sana Konyagi, mwisho wa siku demu mwenyewe ndo akawarudisha hostel wakiwa hoi kwa pombe.
 
Nikiwa na mwanaume nimeamua na si kuwa under the influence. Pia inategemea unatoka na nani, lkn kama mtu anatoka na the likes of you lazima mtatake advantage.

Kaunga...kuacha kaka yako uliyezaliwa naye tumbo moja..sio kaka jina. Mwanaume yeyote akitoka na mwanamke.....asilimia kubwa atakua anawaza kumgonga......sasa shida inakuja unapokunywa alafu unaanza kumrembulia na kujichekesha,yeye atakuambia ngoja nikushushe kwako au ngoja nikusindikize kwenye gari lako...mkifika huko lazima akudende kama sio kukugegeda...samahani lakini sio wote ndio maana nikasema anayebisha na basi Am PM mkaka hapa JF na atuletee jibu baada ya kilaji ilikuaje.
 
Knowledge gap gani inayotaka kuiziba kwa research ya hovyo ya namna hii.

mbona kama unakitu vile ,japo hujakisema....?
Nikiwa na mwanaume nimeamua na si kuwa under the influence. Pia inategemea unatoka na nani, lkn kama mtu anatoka na the likes of you lazima mtatake advantage.

hapo kwenye blue ndiyo jamaa anapozungumzia kwamba beki zitakuwa hazikabi sasa dada yangu.
 
Kaunga...kuacha kaka yako uliyezaliwa naye tumbo moja..sio kaka jina. Mwanaume yeyote akitoka na mwanamke.....asilimia kubwa atakua anawaza kumgonga......sasa shida inakuja unapokunywa alafu unaanza kumrembulia na kujichekesha,yeye atakuambia ngoja nikushushe kwako au ngoja nikusindikize kwenye gari lako...mkifika huko lazima akudende kama sio kukugegeda...samahani lakini sio wote ndio maana nikasema anayebisha na basi Am PM mkaka hapa JF na atuletee jibu baada ya kilaji ilikuaje.

SIO WOTE,
Sasa some of us, tunapick mwanaume wa kutoka naye. Lazima awe mstaarabu, anayejiheshimu, gentleman na lady hatakiwi kulewa. In rare occasions kama parties basi a gentleman can take you home na akahakikisha umefika salama. Hivyo bado naweza bisha, na siwezi toka na a total stranger hivyo siwezi mPM any man!
 
Back
Top Bottom