Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

inategemea mkuu.. mi nishakataa wawili sababu hawakunivutia hata kidogo... unakuta mwanamke kisigino kibayaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Ila dah hii kitu mm imeshanitokea sana yaani ..unakuta unamtokea manzi afu akijua tuu kuwa unataka ingia kweny line yakee aseee atajiona sana kama mungu mtu....pia anakuzungusha sana huku ww ukiwa unaendelea kupoteza vocha zako na nauli "(pesa") zako ...mwisho wa siku una ona"*one night stand *" ndo solution kuliko kuendelea kumwagilia mti uliokufa....ila ndo maisha ...NA YEYE AKILETA ZA KWAKE ZA KULETA ..NI KUMPOTEZEA KAMA KINYONGA TUUU
Ahaaaa. .Mie nimechomolea wengi tu wanaotaka nipige pichu, mpini wangu ni wa dhamani sio kila demu anyonye tu eti kwa sababu ananitaka. Napenda sana demu ninayesota kumfuatilia maana nikimshika napandua hatari
 
wanaume ni wawindaji, wanawake ni kama digi digi tunangoja kuwindwa. Sasa unapokutana na digi digi mwindaji jiulize mara mbili kwanza.
Gold Digger [emoji23][emoji23][emoji23].... nawapenda sana hao....wananichuna na mimi napata mzigo, one night stand...ngoma droo...Problem solved!!
 
Kuna demu alikuja chumbani kwangu eti nimsaidie kumvua pedo,yeye hawezi na mwenzie anaekaa nae hayupo.
Kilichofuata hapo,kipindi maalumu kwa watu wazima,
sasa ilibidi iwe hivyo.
 
Kuna demu alikuja chumbani kwangu eti nimsaidie kumvua pedo,yeye hawezi na mwenzie anaekaa nae hayupo.
Kilichofuata hapo,kipindi maalumu kwa watu wazima,
sasa ilibidi iwe hivyo.
Kwani unadhani yy kafuata nini, dhamani ya mpini ni kutoa demu stress
 
Yaani wanawake wote wangetambua nguvu waliyonayo kwenye mahusiano, wangekuwa na furaha ya ajabu. Huu ni ukweli mchungu, mwanaume anaweza kuhangaika sana na asipendwe ama kukubaliwa na mwanamke. Mwanamke ndio anacall the shots. Pengine labda ndio maana hakuna mahaba mwanaume?
 
Ni kweli hatukatai papuch,kwa mfano e,salts mrembo kama huyo kwenye avator yako aniletee papuch nikatae? Si hata malaika watanishangaa!
 
Back
Top Bottom