Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

Mmmh!!!
Mna njaaa wakuu
Mwanamke akikutaka kinguvu atakupata ila lazima ugomvi utaibuka baafa ya hapo
 
Mm huwa nawakataa wengi na mwanamke anaetaka kuumia ajipendekeze kwangu yani anateswa mpka basi. Mimi nabagua sana wanawake maana ngono siipi kipaumbele sana
 
Ni maamuzi tu kukubali au kukataa... Mimi nina roho ya tofauti sana... As long as moyo wangu upo kwa mahondaw... Hakuna yoyote wa kunitega...

Cc: mahondaw

Thanks mylove
Thanks so much Smart911 I believe in you super Dear. To you I have no doubt kabisaaa
You know what you are doing love congratulations . Mengine..

Wacha nipite kimya kimya
 
Thanks mylove
Thanks so much Smart911 I believe in you super Dear. To you I have no doubt kabisaaa
You know what you are doing love congratulations . Mengine..

Wacha nipite kimya kimya
Usijali super dear... Sitegeki kwa lolote... Sishawishiki na mwanamke yoyote.. My mind and heart are all upon you...

Have no doubt with ur love as well.. Thank you for loving me...
 
Nikimtongoza mwanaume kunakua na kitu nataka kujihakikishia tu.
Nikishapata jibu namtema. Naempenda simtongozi sitaki kumpa nafasi ya wazi kunitenda.
 
Usijali super dear... Sitegeki kwa lolote... Sishawishiki na mwanamke yoyote.. My mind and heart are all upon you...

Have no doubt with ur love as well.. Thank you for loving me...
And that's Smart911 my man lol
A man of principles hahahaah. Akipenda amependa haswaaa all the love carings and attention ni kwa his one and only wake waubani hata wamshobokee vipi
Ndokwanzaaa anadharaaauuu huhuhuu
Mahondaw iko penda sana this kijana Smart911 jamani. Mengine

Wacha nifunge domo langu
 
And that's Smart911 my man lol
A man of principles hahahaah. Akipenda amependa haswaaa all the love carings and attention ni kwa his one and only wake waubani hata wamshobokee vipi
Ndokwanzaaa anadharaaauuu khakhaakhaa
Mahondaw iko penda sana this kijana Smart911 jamani. Mengine

Wacha nifunge domo langu
A man of principles with a very sweet n beautiful young lady called mahondaw... mahondaw a lady who knows what a man what... You are my african queen for real...
 
Back
Top Bottom