Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,577
YapKutongoza kwa mwanamke sio kwa maneno mara nyingi wanawake ni vitendo sn....halaf inategemea mtu unamchekeaje
YapKutongoza kwa mwanamke sio kwa maneno mara nyingi wanawake ni vitendo sn....halaf inategemea mtu unamchekeaje
Zaidi ya miezi 6 sijaona comment ya king'asti, karibu jfYaani wanawake wote wangetambua nguvu waliyonayo kwenye mahusiano, wangekuwa na furaha ya ajabu. Huu ni ukweli mchungu, mwanaume anaweza kuhangaika sana na asipendwe ama kukubaliwa na mwanamke. Mwanamke ndio anacall the shots. Pengine labda ndio maana hakuna mahaba mwanaume?
Lakini kwa hakika jibu unalokuwa umepata linaweza kuwa si sahihi na ukamtema ukidhani ushamjua. Imeshanitokea hivyo mara kadhaa. Men na sisi huwa tunapima. Especially kwa nyie mnaokuja kijanja janja. Si wote tunaingia tu. Nina experiences mbili za aina hiyo ila mmoja hadi leo anateseka/anaumia coz alifanya kama wewe unavyo sema, katikati ya mchezo moyo ukapenda wakati me nishajua ananichezea. Alipokaza akakuta nishamdharau. Till today she's married but tukikutana huumia sana na kusema nilimnyima haki ya kuwa mke. But she played some shit techniques zikamcost. Si wanaume wote unaweza kuwachezea. So don't take everything flat mummy. Na hii ni true experience.Nikimtongoza mwanaume kunakua na kitu nataka kujihakikishia tu.
Nikishapata jibu namtema. Naempenda simtongozi sitaki kumpa nafasi ya wazi kunitenda.
Mi nshachomoa kwa beki3 wa jirani,alikuwa ananipenda sana akawa anamtumia bek3 wetu kumtongozea kwangu, Nilikula zawadi zake sana...Soda, biskuti he he he life a memory lane!Sidhani kama ni kwel... Ila kwa asilimia fulani labda.
Personal, mwanake mwenye standard ndo anaweza nishawish ila not just a woman.
Labda awe na mvuto tu, butt and thighs...kimo proportional na mwili, a great skin tone bila kusahau tabasamu la haja. Hapo kidume sichomoi! Imagine kitoto kama Christina Milian unakichomoleaje?hawajamuwa tu mkuu ,ukutane na mtoto wa kike anaijuwa kukutega mkuu uchomokii nakwambia
😀😀😀Ni mwiko kuikataa papuchii na kama utaikataa laana yake itakumaliza
Zaidi ya miezi 6 sijaona comment ya king'asti, karibu jf
hahaaaaaaaaaaaaKwa uzuri huo lazima unipate.
Kwani body appearance ina relate na papuchi?HATA kama napenda pichu ila sio kila mwanamke aiseee dah
Naamin hujanielewaKwani body appearance ina relate na papuchi?
Labda lakini reception na muonekano wake ndio vya kwanza kukupa ushawishi sivyo?Naamin hujanielewa
Mbona umecheka sana?hahaaaaaaaaaaaa
ni assume unamtania, la sivyo tutauana hum[emoji2] [emoji2] [emoji2] kiddingUsijali super dear... Sitegeki kwa lolote... Sishawishiki na mwanamke yoyote.. My mind and heart are all upon you...
Have no doubt with ur love as well.. Thank you for loving me...
nichekee basi namimi[emoji2]Mwanaume ukimchekea tu anajua unampenda,sembuse kumtongoza