Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

Mwanamke akikutaka ni rahisi sana kukupata

Wanawake wanajua sana kutongoza, tena kuliko sisi wanaume,
Ambao wamewahi kutongozwa na wanawake wataelewa nnachomaanisha,
Usiombe kutongozwa na Dem, alafu nnachowapendea kwanza wakati anakutongoza anafuata prosija zote, haruki hata hatua moja ya utongozaji, alafu ni mafundi wa kutumia body language, Ngoja niishie hapa
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Kuna demu alinibananisha sehem mpaka nikamla. Mpaka saaa huwa nashangaa ilitokeaje
yaan hawa wakilitaka lao huwa halishindikanii
 
Wanawake wanajua sana kutongoza, tena kuliko sisi wanaume,
Ambao wamewahi kutongozwa na wanawake wataelewa nnachomaanisha,
Usiombe kutongozwa na Dem, alafu nnachowapendea kwanza wakati anakutongoza anafuata prosija zote, haruki hata hatua moja ya utongozaji, alafu ni mafundi wa kutumia body language, Ngoja niishie hapa
Dah ungekuwa karibu ningekununulia sayona ya jeroo
 
wanaume ni wawindaji, wanawake ni kama digi digi tunangoja kuwindwa. Sasa unapokutana na digi digi mwindaji jiulize mara mbili kwanza.

Kuna digi digi wengine wanakuwa wanataka tu kucheza 'hide and seek' na mwindaji kwa hiyo wanajifanya nao kuwinda. Lakini inabidi kuwa makini maana wakikosea step kidogo tu wanageuzwa 'kitoweo'
 
Ila hawana uwezo wa kumlazimisha Mwanaume amuoe. Ngono wanaweza
 
...dah basi kama hivyo hiyo ya girls kututokea sisi ingekuwa selective sana aseee maa a mhh km KUNUNUA PENZI KWA PESA.....HUWA SOMETIMES KAMA MAJUTO YA ALIYENUNUA PENZI....

*"*"KWANINI TUNUNUE PENZI WAKATI NI TENDO LILILIWEKWA KWA MADHUMUNI MAARUMU"""
hatununui mkuu ile ni takrima tu huwa tunawafanyia kutokana na maumbile ..wapo zaidi kututegemea sisi hasa kiuchumii
 
Hili jambo limekuwa likinishangaza na kunistaajabisha ,maana kwa nguvu alokuwa nayo mtoto wa kike mara nyingi akimwitaji kidume ni rahisi sana kumpata ,kuliko kidume kikimtaka mtoto wa kike...

wanaume huwa ni ngumu sana kuwakataa watoto wa kike ,maaa hata kama mpendi basi utaamuwa ule mzigo tu

ila wao sasa dah mpaka akupe mashine??

mpaka akutunuku kwa kweli !
Hii kweli kabisa, mimi nilipata bahati ya kupendwa na Miss Tz mmoja, yaani mambo yalikuwa rahisi sana. watu walikuwa hawaamini kama ule mzingo mimi nakula. Lakini ukweli mimi nisingeweza kumchokoza.
 
Binafsi sijawahi kumkubali mwanamke akinitaka na sitaweza milele. Mn kuna wadada wengi walikuja ila niliwakatalia kuwa sinampango nawe kichwani kwangu.
 
Hii kweli kabisa, mimi nilipata bahati ya kupendwa na Miss Tz mmoja, yaani mambo yalikuwa rahisi sana. watu walikuwa hawaamini kama ule mzingo mimi nakula. Lakini ukweli mimi nisingeweza kumchokoza.
hahaha Yaan mkuu hawa watu omba tu wakutunuku lakini useme kwa nguvu zako usimame dah utajutia uwanaume ...ila akikutunuku utajiona kidume ndo ww
 
Binafsi sijawahi kumkubali mwanamke akinitaka na sitaweza milele. Mn kuna wadada wengi walikuja ila niliwakatalia kuwa sinampango nawe kichwani kwangu.
pole mkuu ...zawadi huwa haikataliwiii hata kama hujaipenda
 
Back
Top Bottom