Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
shkamoo digidigiwanaume ni wawindaji, wanawake ni kama digi digi tunangoja kuwindwa. Sasa unapokutana na digi digi mwindaji jiulize mara mbili kwanza.
Hahaaa nahisi hajaiona.nasubil kuona povu.
Hilo nalo neno.ushamuona ??hakafu hujui wengi humu ni kipozeo wanapenda mizigoo
hahahaha, wewe unamchokoza ngoja atoke huko alipo hahahahahMkuu inategemeana na mtu anayekutaka ujue.
Kwa mfano mwanamke kama miss natafuta unaweza mpeleka wapi.
hahaha miss bantu wanaraha yake mzee..hata buchani huwa tunachaguwa steki mifupa mwachie fisiHilo nalo neno.
Lazima awe mzuri. Kama havutii mpaka nitake mwenyewe.Hili jambo limekuwa likinishangaza na kunistaajabisha, maana kwa nguvu aliyokuwa nayo mtoto wa kike mara nyingi akimwitaji kidume ni rahisi sana kumpata, kuliko kidume kikimtaka mtoto wa kike. Wanaume huwa ni ngumu sana kuwakataa watoto wa kike maaa hata kama mpendi basi utaamua ule mzigo tu.
Ila wao sasa dah mpaka akupe mashine?
Mpaka akutunuku kwa kweli!
Dah hii ingekuwa inanitokea na mimi nngeona bahati ya mchanga wa dhabahu aseeeeeeee.
Baby bwana!!! [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu inategemeana na mtu anayekutaka ujue.
Kwa mfano mwanamke kama miss natafuta unaweza mpeleka wapi.
Mbona uliniaacha mpenzBaby bwana!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuacha wapi dear?Mbona uliniaacha mpenz
Nimeshajua hunipendi sawa tu na hua hunijibu text sawa.Nilikuacha wapi dear?