The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Nimeoa na sifanyi huo ujinga,na Wala sikuwahi kumuona Baba anafanya ..ukioa itakubidi
Nimeoa na sifanyi huo ujinga,na Wala sikuwahi kumuona Baba anafanya ..ukioa itakubidi
Nimeoa na sifanyi huo ujinga,na Wala sikuwahi kumuona Baba anafanya ..
Ahsante Sana1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi
2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya
Bottom line
Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA
Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA
FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao
Ndo nilishashindwa kuwa rojo ya tambi au mtori😀😀😀
Acha ubedui Mkuu
We usitake kujua kwanini hilo jina mana hilo ni moja ya majina ya ajabu humuUshawahi ona nyau anavyotolewa bikra ?
Irene uwoya, msanii maarufu bongo alishawahi kukiri kwamba anawapenda wanaume wenye sura ngumu.Wako Wanawake wanaopenda Wanaume rafu na wenye sura mbaya km ya mamba au kiboko,wakiamini kuwa huyo atakuwa wake hataibiwa na Wanawake wengine.
PwaWe usitake kujua kwanini hilo jina mana hilo ni moja ya majina ya ajabu humu
Niliwahi kudanganywa hivi na mpuuzi mmoja! Alikuwa anaigiza hadi kulia...... kumbe bonge la danga. Nikalitosa baharini........ baharia nikaogelea hadi nchi kavu na kusepa kwa spidi ya Hussein Bolt!!! Sikugeuka nyuma hadi leo!Mwanamke asije kukudanganya kuwa et ukimwacha atajiua...
😂😂😂😂😂😂😂
Wapo vilevile tunachoshindwa Sisi wanaume tunataka tuwaelewe katika mtizamo wa kiumeni.
Wanawake sifa Yao kuu ni vigeugeu hivyo lazima uwe flexible kuwaelewa, usiwakariri Kama Notes za History
Shukrani sana 😊🙏Ahsante Sana
Tupe a,b,c za wanawake wakichina. Jf kweli ni jukwaa la maarifa
Maneno machache niliyoyaelewa1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi
2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya
Bottom line
Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA
Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA
FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao
Kwa tabia za uchawa hizo achana kabisa na kuwashobokea wanawake! Utaachwaga kila sikuMimi naomba waendeleee kunichukia maana pockeymoney itakuwa salama.
Pili huwa sina mda wa kushobokea mwanamke kivile maana hata tabia ya wanazopenda.kiugupi Huwa siziwezi na wao wanajua 😆😆😆😆..
Utasikia una ringa mara jeuri mara una kiburi sasa kwa kuwa huwa sijari yaani nawachosha 😬😬
Mkeo anajua kuwa wewe ni chawa profeshenare?Nimeoa na sifanyi huo ujinga,na Wala sikuwahi kumuona Baba anafanya ..