Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

Habari za jioni!

Wanawake ni watu wajanja mno, viumbe wajifanyao wajinga lakini ni werevu Sana.
Wanawake ni viumbe ambao huweza kunusa hatari Kwa haraka mno kuliko mwanaume Kwa sababu ni watu wanao-note vitu vidogo dogo mno tofauti na Sisi wanaume.

Wanawake hutanguliza zaidi hisia ndipo akili ifuate, hivyo unapodili nao lazima uzingatie hisia zao kuliko akili zao,
Na Hilo ndilo huwa tatizo lao ambalo huwafanya kuwa dhaifu, kwani hutanguliza hisia huku akili ikifuata baadaye, kudanganywa ni matokeo ya dhahiri pia ni wepesi kuamini kwani hutanguliza hisia Kwanza.

Wanawake ni viumbe ambao hupenda kujaribu, kudadisi na uchokozi Kwa wanaume, wanawake ni viumbe wanaopenda urembo na uzuri wa kila namna. Hii ndio huwafanya wapende pesa kwani pesa huwarahisishia kupata hayo wayapendayo;

Kama ulikuwa hujui wanawake hupenda wanaume wenye tabia Kama zao katika namna ya kiume.
Wanawake ni wajanja hivyo hupenda wanaume wajanja wajanja watakaowazidi.

Wanawake hupenda urembo hivyo hupenda wanaume watanashati wanaovaa na kupendeza.

Wanawake huupenda uzuri sio ajabu wanapenda wanaume wazuri wanaofanana Sura na Mama zao(Handsome boy)

Wanawake hupenda uchokozi ndio maana hupenda wanaume wachokozi chokozi, wenye utani na ucheshi ambao wao huuita Utundu!

Wanawake kiasili ni wanafiki hivyo sio ajabu wakavutiwa na wanaume waigizaji, waongo na wenye maneno matamu.
Unafiki ni kuigiza uhusika usio wako.
Mfano mwanamke mweusi atafanya unafiki kwenye USO wake Kwa kupaka Makeup na kuukorofisha uso wake.
Mwanamke anajua fika kabisa anakipilipili lakini atazitanyia unafiki nywele zake ziwe Kama Sinyorita wa ureno, wewe mwanaume kazi yako utapaswa kumsifia tu Kwa kusema; unanywele nzuri Sana, zinavutia mno. Au akivaa wigi au wiving wewe mwambie unanywele ndefu na nzuri Sana uonw atakavyochekelea na kufurahi utadhani ni nywele zake kweli!

Ole wako ujifanye unasema hupendi makeup wapakazo wanawake wakati wao ndio wanazipenda, watakuchukia na Kama ni Mkeo atakuona alipotea njia kwako, dawa ya Mke ni kumsifia tuu! Kumfanyia unafiki kwani ndio wanaupenda.

Wanawake wanachukiana wenyewe Kwa wenyewe kwani wanaoneana wivu! Hivyo ukiwa na Mkeo au Mpenz wako ukimsikia anamponda mwenzake wewe ongezea mara elfu moja atacheka na atazidi kukupenda, sio umsifie mwanamke mwingine mbele yake hiyo utakuja kujilaumu.

Taikon uchunguzi wangu unanambia wanawake wasije wakakudanganya kuwa wanapendana nawe ukakubali watakuona wewe ni bogus usiyeelewa mambo madogo.

Wasije wakakudangajua hawapendi mashalobaro na Handsome boy, ni uongo wa mchana kweupe. Hakuna mwanamke WA hivyo kwenye hii Dunia.
Wanawake wanajipenda huvutiwa na wanaume watanashati na Handsome boy.

Ukiona mwanamke anawaponda wanaume handsome boy na watanashati ujue ameumizwa vyakutosha.

Kingine, Jambo lolote analoliponda mwanamke usilitilie maanani ukadhani analichukia, sio kweli, mengi wanayoyaponda ndio wanayapenda mno.
Wanachokifanya ni kujishaua na kutotaka kujishusha Kama unavyojua mwanamke maringo.

Mwanamke akikuambia hapendi wanaume wenye sixpack wanakudanganya mchana kweupe!

Unajua wanawake jinsi saikolojia Yao ilivyo hawapendi mwanaume anayeringa na kujishaua. Wao wanataka wao ndio waringe na wajishaue.
Wanawake wanataka ukiwaoa au ukiwa nao uwe submissive kwao, uwe gentleman, alafu uwaringie wanawake wengine, sio mtu wa kushobokea wanawake wengine. Hii itamfurahisha Mkeo lakini itawafanya wanawake wengine wakuchukie😀😀

Ukitembea na Mkeo njiani au Mpenzi wako ukapita mbele ya wanawake usipowapa attention watachukia na Mkeo atajisikia fahari mno. Au akipita Mdada mwenye msambwanda alafu usipomuangalia ukajifanya uko bize na Mkeo hapo atafurahi na ataona umemkomesha huyo Mdada, kwani wanawake hudhani kila mwanamke anamtaka mume wake.

Lakini ukiwa na Mkeo alafu ukawa unatazama wanawake wengi mbele yake anajihisi duni na kuona Kama unamdharau, na kimsingi Wanawake wenzake watavimba na kumdharau kwani wataona Kama wao ni wazuri kumshinda Mkeo, na Mkeo atajiona sio mzuri kuliko hao unaowatazama.

Wanawake ni watu wanaopenda sifa, hivyo hupenda pia wanaume wenye mikwala na sifa za hapa na pale, hiyo wanaichukulia Kama kujiamini na kujitamba kwani Mwanaume matambo. Wanawake hawapendi wanaume wanaolialia na kulalamika lalamika hovyo!

Mwanamke asije akakudanganya Hapendi uongo, ukawa unamuambia ukweli usio na maana yoyote kwake.
Ni Bora umdanganye mwanamke ajisikie Raha na matumaini kuliko umwambie ukweli ambao hautamsaidia lolote zaidi ya kumkatisha tamaa!

Wanawake wasije wakakudanganya hawapendi kutoka out, sio Kweli! Wanawake wanapenda uwapeleke Maeneo mazuri kila mara wakale vitu vizuri.
Hii huwafanya wanawake wawapende wanaume wala bata kuliko wanaume mabahili Kama Taikon.

Wanawake wasije wakakudanganya kuwa watakupa pesa wasikuseme Kwa watu, sio kweli! Mwanamke akikupa pesa jua IPO siku hiyo pesa itakutokea puani!

Ni Sawa na Mwanaume aseme ati Hapendi wmanamke mwenye Sura nzuri na wowowo saizi ya Kati, huyo ni muongo.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Pamoja na yote uliyoandika bado inaonyesha huwajui vyema wanawake,they are unique species.
 
Wanawake wanataka ukiwaoa au ukiwa nao uwe submissive kwao, uwe gentleman, alafu uwaringie wanawake wengine, sio mtu wa kushobokea wanawake wengine. Hii itamfurahisha Mkeo lakini itawafanya wanawake wengine wakuchukie[emoji3][emoji3]

Ukitembea na Mkeo njiani au Mpenzi wako ukapita mbele ya wanawake usipowapa attention watachukia na Mkeo atajisikia fahari mno. Au akipita Mdada mwenye msambwanda alafu usipomuangalia ukajifanya uko bize na Mkeo hapo atafurahi na ataona umemkomesha huyo Mdada, kwani wanawake hudhani kila mwanamke anamtaka mume wake.

Lakini ukiwa na Mkeo alafu ukawa unatazama wanawake wengi mbele yake anajihisi duni na kuona Kama unamdharau, na kimsingi Wanawake wenzake watavimba na kumdharau kwani wataona Kama wao ni wazuri kumshinda Mkeo, na Mkeo atajiona sio mzuri kuliko hao unaowatazama.

Wanawake ni watu wanaopenda sifa, hivyo hupenda pia wanaume wenye mikwala na sifa za hapa na pale, hiyo wanaichukulia Kama kujiamini na kujitamba kwani Mwanaume matambo. Wanawake hawapendi wanaume wanaolialia na kulalamika lalamika hovyo!

Mwanamke asije akakudanganya Hapendi uongo, ukawa unamuambia ukweli usio na maana yoyote kwake.
Ni Bora umdanganye mwanamke ajisikie Raha na matumaini kuliko umwambie ukweli ambao hautamsaidia lolote zaidi ya kumkatisha tamaa!

Wanawake wasije wakakudanganya hawapendi kutoka out, sio Kweli! Wanawake wanapenda uwapeleke Maeneo mazuri kila mara wakale vitu vizuri.
Hii huwafanya wanawake wawapende wanaume wala bata kuliko wanaume mabahili Kama Taikon.

Wanawake wasije wakakudanganya kuwa watakupa pesa wasikuseme Kwa watu, sio kweli! Mwanamke akikupa pesa jua IPO siku hiyo pesa itakutokea puani!

Ni Sawa na Mwanaume aseme ati Hapendi wmanamke mwenye Sura nzuri na wowowo saizi ya Kati, huyo ni muongo.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hiyo ya kuwapotezea wanawake wengine ili ajione yeye tu ndie anaependwa, baadae tena inaleta shida...anaanza kukudharau kwakuona huna ujanja wa kupata mwanamke zaidi yake!!

Kila ulichokiongea hapo kina kinyume chake, unasema wanapenda watanashati na masharo hivi, lkn tena utaona hao wanasalitiwa! Mwanamke anajipeleka kwa mwenye kitambi mwenye pesa au "mlugaluga" mvaa raba na suti eti kafata mashine...

Kifupi kabisa, kumjua vizuri mwanamke ni kukubali kuwa haeleweki hata anataka nini wakati gani!

Ukijifanya unaishi kwa kumsikilizia hisia zake umekwisha!

Ishi maisha yako duniani kama ulivyopewa na Mungu kwa furaha amani huku ukihakikisha mtu yeyote akiwemo huyo mwanamke hakuondolei furaha na amani ya kuwa hai.

Ukikaa unawazawaza hisia zake utaishia kuugua na kufa kabla ya wakati.
 
Wewe ni mimi kabisa![emoji3][emoji3]

Sipendi na siachi kumwambia ukweli mwanamke wangu anayejipodoa na kujionyesha kupita kiasi.

NishawAhi kujibiwa; Unaonekana handsome man ukimtongoza mdada anasema mwanaume ndy huyu lkn loooh!!!![emoji28][emoji28][emoji28]

Mwanaume hauko romantic
Unajifanya mpole lkn Una maneno makali
mtu gani hujawahi kunisifia Kwa Jambo lolote

Kumbe Mimi sipendi unafiki kbs..

Akivaa wigi namkosoa papi hapo na kumwambia asitemvee na Mimi,sipendi nywele bandia

Ana nguo zake za kubana za kuonyesha shepu lake,anavaa siku Mimi sipo,nikiwepo namzuia,napenda avae nguo za kujisitiri,na lazima tuzinguane

Ana ma make up yake kibao kwenye dressing table lkn sipendi kbs akijipodoa kisha anabadilika na kuwa mwingine kbs.

Nishawahi kugombana nae kisa nawasifia wasabato vile hawapendi kufake,akaniita mshamba na mlugaluga km watu wa kale[emoji3]

Mwishowe nikaachwa kisa Hana furaha na Mimi[emoji3]

Kumbe nilikuwa nakosea sana

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ole wako ujifanye unasema hupendi makeup wapakazo wanawake wakati wao ndio wanazipenda, watakuchukia na Kama ni Mkeo atakuona alipotea njia kwako, dawa ya Mke ni kumsifia tuu! Kumfanyia unafiki kwani ndio wanaupenda.
 
Hii ni aina ya wanawake wa Kiafrika kwa sehemu kubwa....
 
Wanawake ni watu wanaopenda sifa, hivyo hupenda pia wanaume wenye mikwala na sifa za hapa na pale, hiyo wanaichukulia Kama kujiamini na kujitamba kwani Mwanaume matambo. Wanawake hawapendi wanaume wanaolialia na kulalamika lalamika hovyo!
Napenda kubadilishana nao mawazo kwenye masuala ya maendeleo kwa wale tu wanaojitambua, lakini suala la mahusiano nao litakufanya mtumwa, ni bora ukajifikiche yaishe

70800893_2390661374335659_2579538468711432192_n.jpg
 
1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi

2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya

Bottom line

Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA

Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA

FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao
Mungu akubariki sana. Umepiga mule mule!

JESUS IS LORD.
 
Hiyo ya kuwapotezea wanawake wengine ili ajione yeye tu ndie anaependwa, baadae tena inaleta shida...anaanza kukudharau kwakuona huna ujanja wa kupata mwanamke zaidi yake!!

Kila ulichokiongea hapo kina kinyume chake, unasema wanapenda watanashati na masharo hivi, lkn tena utaona hao wanasalitiwa! Mwanamke anajipeleka kwa mwenye kitambi mwenye pesa au "mlugaluga" mvaa raba na suti eti kafata mashine...

Kifupi kabisa, kumjua vizuri mwanamke ni kukubali kuwa haeleweki hata anataka nini wakati gani!

Ukijifanya unaishi kwa kumsikilizia hisia zake umekwisha!

Ishi maisha yako duniani kama ulivyopewa na Mungu kwa furaha amani huku ukihakikisha mtu yeyote akiwemo huyo mwanamke hakuondolei furaha na amani ya kuwa hai.

Ukikaa unawazawaza hisia zake utaishia kuugua na kufa kabla ya wakati.
Na ndivyo ilivyo mkuu mwanamke aeleweki anataka nini, tatizo wangu wengine wanajidai wanawajua sana wanawake.
 
Wanawake ni watu wajanja mno, viumbe wajifanyao wajinga lakini ni werevu Sana.
Wanawake ni viumbe ambao huweza kunusa hatari Kwa haraka mno kuliko mwanaume Kwa sababu ni watu wanao-note vitu vidogo dogo mno tofauti na Sisi wanaume.
SikubalianI nawe kabisa ktk hili!
Wanawake ktk kunusa ya mbele huwa hawaoni yajayo kabisa na huona ya karibu tu!
Wangekuwa wananusa ya mbele na hatari zake wasingekuwa wao ndio wahanga wakuu wa matapeli ya kidini, nenda ktk nyumba za matepeli wa kidini waliojaa huko ni wanawake, kwa waganga ni wanawake! Kisa hawaoni mbele kabisa!
 
Niliwahi kudanganywa hivi na mpuuzi mmoja! Alikuwa anaigiza hadi kulia...... kumbe bonge la danga. Nikalitosa baharini........ baharia nikaogelea hadi nchi kavu na kusepa kwa spidi ya Hussein Bolt!!! Sikugeuka nyuma hadi leo!
Hongera sana, maamuzi ya kiume
 
SikubalianI nawe kabisa ktk hili!
Wanawake ktk kunusa ya mbele huwa hawaoni yajayo kabisa na huona ya karibu tu!
Wangekuwa wananusa ya mbele na hatari zake wasingekuwa wao ndio wahanga wakuu wa matapeli ya kidini, nenda ktk nyumba za matepeli wa kidini waliojaa huko ni wanawake, kwa waganga ni wanawake! Kisa hawaoni mbele kabisa!

Wananusa hatari tatizo Lao ni kutumia hisia katika mambo mengi ndio maana wanafanya au kufanyiwa uliyoyasema!
 
Pamoja na yote uliyoandika bado inaonyesha huwajui vyema wanawake,they are unique species.

Mimi sijakataa!

Niambie tuu wapi Kati ya niliyoandika nimesema uongo na utoe ukweli, ufanye Criticism sio useme ni Unique bila kutetea hoja yako
 
Back
Top Bottom