Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,563
- 91,855
- Thread starter
- #121
Umeona eenhh?!!!,Mtoa uzi asikariri maisha.
Exceptionism haiondoi kanuni kuu.
Umeona eenhh?!!!,Mtoa uzi asikariri maisha.
Wakurya mna shida sana[emoji23]Mbona siku hizi huweki namba ya simu
Na vipi kwenye fani yako ya ushonaji mbona hujatupa experience kama mziba viraka maarufu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kinachonishangaza...mwalimu wa ndoa, ndoa yake ilivunjika akifundisha wanandoa wengine.Wanawake ni shule, kila mwaka syllabus mpya.
Wakurya
Ntake radhi mkuu siwezi kuwa kwenye hilo kabila mana manzi wangu wa hilo kabila aliiba namba ya mshua na kukiwasha kisa kanikuta mtu mwengine njiani.Wakurya mna shida sana[emoji23]
Ilitakiwa uiweke kwenye uzi wako,tusingekukosoa.Exceptionism haiondoi kanuni kuu.
Kazungumzia tabia za wanawake,Hajazungumzia mapenzi meneja wa makampuni.Mapenzi hayana fomula kaka yangu,
Ilitakiwa uiweke kwenye uzi wako,tusingekukosoa.
Kutumia mfano kwenye Biblia haupo sahihi nitaendelea kukukosoa,Ayubu alikuwa mkamilifu kwa maana ya kutomkosea MUNGU,lkn kwasababu ya dhambi ya Adamu na Eva,Ayubu anabeba dhambi ya asili ambayo Yesu Kristo ndio alikuja kutupatanisha na MUNGU.Kwa hiyo ni kweli kabisa kadiri ya Biblia kuwa binadamu wote tulimkosea MUNGU.Sikatai kukosolewa Ila mwenye kukosoa lazima Ajue kuna Exceptional.
Hata Mungu aliposema wanadamu wote ni watenda dhambi sio kwamba hakujua kuna kina Ayubu ambao aliwaita wakamilifu wasio na dhambi.
Sasa mtu mmoja Kati ya Elfu hawezi kukufanya usiseme watu Fulani wapo hivi kisa yeye.
Kutumia mfano kwenye Biblia haupo sahihi nitaendelea kukukosoa,Ayubu alikuwa mkamilifu kwa maana ya kutomkosea MUNGU,lkn kwasababu ya dhambi ya Adamu na Eva,Ayubu anabeba dhambi ya asili ambayo Yesu Kristo ndio alikuja kutupatanisha na MUNGU.Kwa hiyo ni kweli kabisa kadiri ya Biblia kuwa binadamu wote tulimkosea MUNGU.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]basi amekuachia tabia yaoNtake radhi mkuu siwezi kuwa kwenye hilo kabila mana manzi wangu wa hilo kabila aliiba namba ya mshua na kukiwasha kisa kanikuta mtu mwengine njiani.
Sitaki kuwasikia hao na wajita[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Mura huyo alikuwa mke bora mura[emoji23][emoji23]Ntake radhi mkuu siwezi kuwa kwenye hilo kabila mana manzi wangu wa hilo kabila aliiba namba ya mshua na kukiwasha kisa kanikuta mtu mwengine njiani.
Sitaki kuwasikia hao na wajita[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ila nilicho jifunza kuwa wanapenda kweli na wala hawa deal na mambo ya utandawazi kivile ila sasa alipo angukia ni pabaya sana.Mura huyo alikuwa mke bora mura[emoji23][emoji23]
Hao ndio wake bora na walezi bora za familia.Ila nilicho jifunza kuwa wanapenda kweli na wala hawa deal na mambo ya utandawazi kivile ila sasa alipo angukia ni pabaya sana.
Ilifika kipindi niko busy na jf app akaunstall app ndyo mpk leo natumia browser ili hali tumeachana
InawezekanaMmmh!!! Kwahiyo hata mwanamke akitoa machozi mbele yako bado atakuwa ni mwongo
Tunapenda wanawake warembo bila kusahau wenye matacore makubwLeta upande wa pili sasa, wanaume tunapenda nini?
Kukimbia mwanamke ndio maamuzi ya kiume!!?Hongera sana, maamuzi ya kiume
Ukitaka aendelee kuutesa moyo na kupoteza hela mkuuKukimbia mwanamke ndio maamuzi ya kiume!!?