Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,415
- 29,399
On behalf…
Tunapenda vibamia..
Tumekubaliana tupuuze hili, kumbe ni kinyume chake.
On behalf…
Tunapenda vibamia..
Umenikumbusha mbali kuna mtu niliwahi mwambia hivyo,, mwishowe nikamtosa, siku moja aliniuliza eti unakumbuka ahadi ya kuachana kwetu nilitakiwa nijiue nikamjibu kwahiyo anataka nife sio? Nikamwambia hana hadhi ya Mimi kufa ajili yake so Bado nipo nipo,, nonsenseMwanamke asije kukudanganya kuwa et ukimwacha atajiua...
Ni shule isiyoishaWanawake ni shule, kila mwaka syllabus mpya.
Hapa kadanganya sanaHapo uliposema hakuna mwanamke asiependa sharobaro karudie tena utafiti wako
Wapo ambao hawana mpango na hao sharobaro sio kwasababu wameumizwa vya kutosha bali ni kwasababu wametanguliza akili mbele kuliko hisia!
Hapo uliposema hakuna mwanamke asiependa sharobaro karudie tena utafiti wako
Wapo ambao hawana mpango na hao sharobaro sio kwasababu wameumizwa vya kutosha bali ni kwasababu wametanguliza akili mbele kuliko hisia!
Ngoja Kwanza nishushe pumzi..
Kumbe ndy maana naachwa mara Kwa mara,kumbe unafiki ndiyo dawa kuu ya kudumisha penzi!!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mtupuHabari za jioni!
Wanawake ni watu wajanja mno, viumbe wajifanyao wajinga lakini ni werevu Sana.
Wanawake ni viumbe ambao huweza kunusa hatari Kwa haraka mno kuliko mwanaume Kwa sababu ni watu wanao-note vitu vidogo dogo mno tofauti na Sisi wanaume.
Wanawake hutanguliza zaidi hisia ndipo akili ifuate, hivyo unapodili nao lazima uzingatie hisia zao kuliko akili zao,
Na Hilo ndilo huwa tatizo lao ambalo huwafanya kuwa dhaifu, kwani hutanguliza hisia huku akili ikifuata baadaye, kudanganywa ni matokeo ya dhahiri pia ni wepesi kuamini kwani hutanguliza hisia Kwanza.
Wanawake ni viumbe ambao hupenda kujaribu, kudadisi na uchokozi Kwa wanaume, wanawake ni viumbe wanaopenda urembo na uzuri wa kila namna. Hii ndio huwafanya wapende pesa kwani pesa huwarahisishia kupata hayo wayapendayo;
Kama ulikuwa hujui wanawake hupenda wanaume wenye tabia Kama zao katika namna ya kiume.
Wanawake ni wajanja hivyo hupenda wanaume wajanja wajanja watakaowazidi.
Wanawake hupenda urembo hivyo hupenda wanaume watanashati wanaovaa na kupendeza.
Wanawake huupenda uzuri sio ajabu wanapenda wanaume wazuri wanaofanana Sura na Mama zao(Handsome boy)
Wanawake hupenda uchokozi ndio maana hupenda wanaume wachokozi chokozi, wenye utani na ucheshi ambao wao huuita Utundu!
Wanawake kiasili ni wanafiki hivyo sio ajabu wakavutiwa na wanaume waigizaji, waongo na wenye maneno matamu.
Unafiki ni kuigiza uhusika usio wako.
Mfano mwanamke mweusi atafanya unafiki kwenye USO wake Kwa kupaka Makeup na kuukorofisha uso wake.
Mwanamke anajua fika kabisa anakipilipili lakini atazitanyia unafiki nywele zake ziwe Kama Sinyorita wa ureno, wewe mwanaume kazi yako utapaswa kumsifia tu Kwa kusema; unanywele nzuri Sana, zinavutia mno. Au akivaa wigi au wiving wewe mwambie unanywele ndefu na nzuri Sana uonw atakavyochekelea na kufurahi utadhani ni nywele zake kweli!
Ole wako ujifanye unasema hupendi makeup wapakazo wanawake wakati wao ndio wanazipenda, watakuchukia na Kama ni Mkeo atakuona alipotea njia kwako, dawa ya Mke ni kumsifia tuu! Kumfanyia unafiki kwani ndio wanaupenda.
Wanawake wanachukiana wenyewe Kwa wenyewe kwani wanaoneana wivu! Hivyo ukiwa na Mkeo au Mpenz wako ukimsikia anamponda mwenzake wewe ongezea mara elfu moja atacheka na atazidi kukupenda, sio umsifie mwanamke mwingine mbele yake hiyo utakuja kujilaumu.
Taikon uchunguzi wangu unanambia wanawake wasije wakakudanganya kuwa wanapendana nawe ukakubali watakuona wewe ni bogus usiyeelewa mambo madogo.
Wasije wakakudangajua hawapendi mashalobaro na Handsome boy, ni uongo wa mchana kweupe. Hakuna mwanamke WA hivyo kwenye hii Dunia.
Wanawake wanajipenda huvutiwa na wanaume watanashati na Handsome boy.
Ukiona mwanamke anawaponda wanaume handsome boy na watanashati ujue ameumizwa vyakutosha.
Kingine, Jambo lolote analoliponda mwanamke usilitilie maanani ukadhani analichukia, sio kweli, mengi wanayoyaponda ndio wanayapenda mno.
Wanachokifanya ni kujishaua na kutotaka kujishusha Kama unavyojua mwanamke maringo.
Mwanamke akikuambia hapendi wanaume wenye sixpack wanakudanganya mchana kweupe!
Unajua wanawake jinsi saikolojia Yao ilivyo hawapendi mwanaume anayeringa na kujishaua. Wao wanataka wao ndio waringe na wajishaue.
Wanawake wanataka ukiwaoa au ukiwa nao uwe submissive kwao, uwe gentleman, alafu uwaringie wanawake wengine, sio mtu wa kushobokea wanawake wengine. Hii itamfurahisha Mkeo lakini itawafanya wanawake wengine wakuchukie[emoji3][emoji3]
Ukitembea na Mkeo njiani au Mpenzi wako ukapita mbele ya wanawake usipowapa attention watachukia na Mkeo atajisikia fahari mno. Au akipita Mdada mwenye msambwanda alafu usipomuangalia ukajifanya uko bize na Mkeo hapo atafurahi na ataona umemkomesha huyo Mdada, kwani wanawake hudhani kila mwanamke anamtaka mume wake.
Lakini ukiwa na Mkeo alafu ukawa unatazama wanawake wengi mbele yake anajihisi duni na kuona Kama unamdharau, na kimsingi Wanawake wenzake watavimba na kumdharau kwani wataona Kama wao ni wazuri kumshinda Mkeo, na Mkeo atajiona sio mzuri kuliko hao unaowatazama.
Wanawake ni watu wanaopenda sifa, hivyo hupenda pia wanaume wenye mikwala na sifa za hapa na pale, hiyo wanaichukulia Kama kujiamini na kujitamba kwani Mwanaume matambo. Wanawake hawapendi wanaume wanaolialia na kulalamika lalamika hovyo!
Mwanamke asije akakudanganya Hapendi uongo, ukawa unamuambia ukweli usio na maana yoyote kwake.
Ni Bora umdanganye mwanamke ajisikie Raha na matumaini kuliko umwambie ukweli ambao hautamsaidia lolote zaidi ya kumkatisha tamaa!
Wanawake wasije wakakudanganya hawapendi kutoka out, sio Kweli! Wanawake wanapenda uwapeleke Maeneo mazuri kila mara wakale vitu vizuri.
Hii huwafanya wanawake wawapende wanaume wala bata kuliko wanaume mabahili Kama Taikon.
Wanawake wasije wakakudanganya kuwa watakupa pesa wasikuseme Kwa watu, sio kweli! Mwanamke akikupa pesa jua IPO siku hiyo pesa itakutokea puani!
Ni Sawa na Mwanaume aseme ati Hapendi wmanamke mwenye Sura nzuri na wowowo saizi ya Kati, huyo ni muongo.
Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sio kweliUkiona mwanamke anatanguliza akili kabla ya hisia ujue keshaumizwa na Kundi hilo.
Tabia halisi ya mwanamke ni Ile kabla hajaumizwa hilo liweke kichwani
Hahaha mapenzi hayaUmenikumbusha mbali kuna mtu niliwahi mwambia hivyo,, mwishowe nikamtosa, siku moja aliniuliza eti unakumbuka ahadi ya kuachana kwetu nilitakiwa nijiue nikamjibu kwahiyo anataka nife sio? Nikamwambia hana hadhi ya Mimi kufa ajili yake so Bado nipo nipo,, nonsense
Leta upande wa pili sasa, wanaume tunapenda nini?Habari za jioni!
Wanawake ni watu wajanja mno, viumbe wajifanyao wajinga lakini ni werevu Sana.
Wanawake ni viumbe ambao huweza kunusa hatari Kwa haraka mno kuliko mwanaume Kwa sababu ni watu wanao-note vitu vidogo dogo mno tofauti na Sisi wanaume.
Wanawake hutanguliza zaidi hisia ndipo akili ifuate, hivyo unapodili nao lazima uzingatie hisia zao kuliko akili zao,
Na Hilo ndilo huwa tatizo lao ambalo huwafanya kuwa dhaifu, kwani hutanguliza hisia huku akili ikifuata baadaye, kudanganywa ni matokeo ya dhahiri pia ni wepesi kuamini kwani hutanguliza hisia Kwanza.
Wanawake ni viumbe ambao hupenda kujaribu, kudadisi na uchokozi Kwa wanaume, wanawake ni viumbe wanaopenda urembo na uzuri wa kila namna. Hii ndio huwafanya wapende pesa kwani pesa huwarahisishia kupata hayo wayapendayo;
Kama ulikuwa hujui wanawake hupenda wanaume wenye tabia Kama zao katika namna ya kiume.
Wanawake ni wajanja hivyo hupenda wanaume wajanja wajanja watakaowazidi.
Wanawake hupenda urembo hivyo hupenda wanaume watanashati wanaovaa na kupendeza.
Wanawake huupenda uzuri sio ajabu wanapenda wanaume wazuri wanaofanana Sura na Mama zao(Handsome boy)
Wanawake hupenda uchokozi ndio maana hupenda wanaume wachokozi chokozi, wenye utani na ucheshi ambao wao huuita Utundu!
Wanawake kiasili ni wanafiki hivyo sio ajabu wakavutiwa na wanaume waigizaji, waongo na wenye maneno matamu.
Unafiki ni kuigiza uhusika usio wako.
Mfano mwanamke mweusi atafanya unafiki kwenye USO wake Kwa kupaka Makeup na kuukorofisha uso wake.
Mwanamke anajua fika kabisa anakipilipili lakini atazitanyia unafiki nywele zake ziwe Kama Sinyorita wa ureno, wewe mwanaume kazi yako utapaswa kumsifia tu Kwa kusema; unanywele nzuri Sana, zinavutia mno. Au akivaa wigi au wiving wewe mwambie unanywele ndefu na nzuri Sana uonw atakavyochekelea na kufurahi utadhani ni nywele zake kweli!
Ole wako ujifanye unasema hupendi makeup wapakazo wanawake wakati wao ndio wanazipenda, watakuchukia na Kama ni Mkeo atakuona alipotea njia kwako, dawa ya Mke ni kumsifia tuu! Kumfanyia unafiki kwani ndio wanaupenda.
Wanawake wanachukiana wenyewe Kwa wenyewe kwani wanaoneana wivu! Hivyo ukiwa na Mkeo au Mpenz wako ukimsikia anamponda mwenzake wewe ongezea mara elfu moja atacheka na atazidi kukupenda, sio umsifie mwanamke mwingine mbele yake hiyo utakuja kujilaumu.
Taikon uchunguzi wangu unanambia wanawake wasije wakakudanganya kuwa wanapendana nawe ukakubali watakuona wewe ni bogus usiyeelewa mambo madogo.
Wasije wakakudangajua hawapendi mashalobaro na Handsome boy, ni uongo wa mchana kweupe. Hakuna mwanamke WA hivyo kwenye hii Dunia.
Wanawake wanajipenda huvutiwa na wanaume watanashati na Handsome boy.
Ukiona mwanamke anawaponda wanaume handsome boy na watanashati ujue ameumizwa vyakutosha.
Kingine, Jambo lolote analoliponda mwanamke usilitilie maanani ukadhani analichukia, sio kweli, mengi wanayoyaponda ndio wanayapenda mno.
Wanachokifanya ni kujishaua na kutotaka kujishusha Kama unavyojua mwanamke maringo.
Mwanamke akikuambia hapendi wanaume wenye sixpack wanakudanganya mchana kweupe!
Unajua wanawake jinsi saikolojia Yao ilivyo hawapendi mwanaume anayeringa na kujishaua. Wao wanataka wao ndio waringe na wajishaue.
Wanawake wanataka ukiwaoa au ukiwa nao uwe submissive kwao, uwe gentleman, alafu uwaringie wanawake wengine, sio mtu wa kushobokea wanawake wengine. Hii itamfurahisha Mkeo lakini itawafanya wanawake wengine wakuchukie😀😀
Ukitembea na Mkeo njiani au Mpenzi wako ukapita mbele ya wanawake usipowapa attention watachukia na Mkeo atajisikia fahari mno. Au akipita Mdada mwenye msambwanda alafu usipomuangalia ukajifanya uko bize na Mkeo hapo atafurahi na ataona umemkomesha huyo Mdada, kwani wanawake hudhani kila mwanamke anamtaka mume wake.
Lakini ukiwa na Mkeo alafu ukawa unatazama wanawake wengi mbele yake anajihisi duni na kuona Kama unamdharau, na kimsingi Wanawake wenzake watavimba na kumdharau kwani wataona Kama wao ni wazuri kumshinda Mkeo, na Mkeo atajiona sio mzuri kuliko hao unaowatazama.
Wanawake ni watu wanaopenda sifa, hivyo hupenda pia wanaume wenye mikwala na sifa za hapa na pale, hiyo wanaichukulia Kama kujiamini na kujitamba kwani Mwanaume matambo. Wanawake hawapendi wanaume wanaolialia na kulalamika lalamika hovyo!
Mwanamke asije akakudanganya Hapendi uongo, ukawa unamuambia ukweli usio na maana yoyote kwake.
Ni Bora umdanganye mwanamke ajisikie Raha na matumaini kuliko umwambie ukweli ambao hautamsaidia lolote zaidi ya kumkatisha tamaa!
Wanawake wasije wakakudanganya hawapendi kutoka out, sio Kweli! Wanawake wanapenda uwapeleke Maeneo mazuri kila mara wakale vitu vizuri.
Hii huwafanya wanawake wawapende wanaume wala bata kuliko wanaume mabahili Kama Taikon.
Wanawake wasije wakakudanganya kuwa watakupa pesa wasikuseme Kwa watu, sio kweli! Mwanamke akikupa pesa jua IPO siku hiyo pesa itakutokea puani!
Ni Sawa na Mwanaume aseme ati Hapendi wmanamke mwenye Sura nzuri na wowowo saizi ya Kati, huyo ni muongo.
Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Huyu mama majina ya teuzi hayatoi praise team, yanatoka kwenye mkoba wa MkwereMbona siku hizi huweki namba ya simu
Na vipi kwenye fani yako ya ushonaji mbona hujatupa experience kama mziba viraka maarufu😆😆😆😆
Leta upande wa pili sasa, wanaume tunapenda nini?
NishawAhi kujibiwa; Unaonekana handsome man ukimtongoza mdada anasema mwanaume ndy huyu lkn loooh!!!![emoji28][emoji28][emoji28]
Mwanaume hauko romantic
Unajifanya mpole lkn Una maneno makali
mtu gani hujawahi kunisifia Kwa Jambo lolote
Kumbe Mimi sipendi unafiki kbs..
Akivaa wigi namkosoa papi hapo na kumwambia asitemvee na Mimi,sipendi nywele bandia
Ana nguo zake za kubana za kuonyesha shepu lake,anavaa siku Mimi sipo,nikiwepo namzuia,napenda avae nguo za kujisitiri,na lazima tuzinguane
Ana ma make up yake kibao kwenye dressing table lkn sipendi kbs akijipodoa kisha anabadilika na kuwa mwingine kbs.
Nishawahi kugombana nae kisa nawasifia wasabato vile hawapendi kufake,akaniita mshamba na mlugaluga km watu wa kale[emoji3]
Mwishowe nikaachwa kisa Hana furaha na Mimi[emoji3]
Kumbe nilikuwa nakosea sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu mama majina ya teuzi hayatoi praise team, yanatoka kwenye mkoba wa Mkwere