Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

Nakumbuka kuna maneno John Cena alisema

“Usimfanye Mke wako kuwaonea wivu wanawake wengine, Bali wafanye hao wabawake wengine waone wivu kwa mkeo”

Mwanamke usimwamini asilimia Mia mfiche fiche baadhi ya vitu.

Mimi niliwahi kutrack simu ya MKE wangu nilichokua naskia akiongea na dada yake Hadi plani zetu za ndani kabisa za Maisha anampa full details.

Hadi Tabia zangu anasema mshahara wangu na Mambo kibao

Lakini nilitumia akili nikawa namuangalia zaidi ya miaka miwili sasa kuna siku nilimskilizisha audio zote akabaki ananiomba Tu msamaha ...

Baadae simu yake iliharibika Nikaamua kutomnunulia simu janja Hadi Leo mwaka umeisha anatumia kitochi .

Ila nampango mwezi huu nimtafutie simu then natrack upya.

Bahati nzuri sio MTU WA wanaume Ila anapenda Sana kuongea vtu vyetu vya Siri Kwa dada yake.

Mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake mwenyewe.
 
Kila mtu huwa na msiri wake..acha kuwapangia watu maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umenikumbusha mbali kuna mtu niliwahi mwambia hivyo,, mwishowe nikamtosa, siku moja aliniuliza eti unakumbuka ahadi ya kuachana kwetu nilitakiwa nijiue nikamjibu kwahiyo anataka nife sio? Nikamwambia hana hadhi ya Mimi kufa ajili yake so Bado nipo nipo,, nonsense
Kumbe huwa una nyodo eeh 😁
 
Mwanamke usimwamini asilimia Mia mfiche fiche baadhi ya vitu.

Mimi niliwahi kutrack simu ya MKE wangu nilichokua naskia akiongea na dada yake Hadi plani zetu za ndani kabisa za Maisha anampa full details.

Hadi Tabia zangu anasema mshahara wangu na Mambo kibao

Lakini nilitumia akili nikawa namuangalia zaidi ya miaka miwili sasa kuna siku nilimskilizisha audio zote akabaki ananiomba Tu msamaha ...

Baadae simu yake iliharibika Nikaamua kutomnunulia simu janja Hadi Leo mwaka umeisha anatumia kitochi .

Ila nampango mwezi huu nimtafutie simu then natrack upya.

Bahati nzuri sio MTU WA wanaume Ila anapenda Sana kuongea vtu vyetu vya Siri Kwa dada yake.

Mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake mwenyewe.
Umeongea ukweli mtupu. Hawa watu sio wasiri kivile. Mimi kwenye mipango ya pesa nilishaacha kusema nitapata ngapi ila huwa namaliza shida zao then najikataa kwenye malengo makubwa ambayo wao huwa na hofu sana ukiyafanya kwa kuwashirikisha
 
1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi

2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya

Bottom line

Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA

Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA

FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao
Im my own best version , hakuna kama mimi/ wewe kamwe hatokuja kutokea.
 
Umeongea ukweli mtupu. Hawa watu sio wasiri kivile. Mimi kwenye mipango ya pesa nilishaacha kusema nitapata ngapi ila huwa namaliza shida zao then najikataa kwenye malengo makubwa ambayo wao huwa na hofu sana ukiyafanya kwa kuwashirikisha
Nimejifunza kitu.

Huu uzungu ulitaka kuniua let me do my projects alone .
 
Sasa mtu aanze tu kukuchokoza mtt mzuri mweee, atakuwa amedandia mtumbi wa vibwengo
😂Mi ni kakorofi kachinichini ujue,,, Kuna mmoja mwezi uliopita kaninanga eti ninavyoringa km vile Nina k mbili na zote bikira,,😂😂nikamwambia hiyo yote ni hasira ya kukataliwa, akaongea mbovu nyingi, nikamjibu asijali asubiri nikifa awahi nikiwa mochwari ajipooze nikiwa maiti,, aliondoka kimya kimya,, badae eti oooh una nyodo sana wewe na maringo mengi,,😂😂
 
Back
Top Bottom