1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi
2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya
Bottom line
Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA
Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA
FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao