Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Soma threads zote hapa JF...zinazohusu hilo
Kwa hiyo kama thread zote hapa JF zinahusu hilo huo ndio uthibitisho kwamba waislamu wamehusika?
Soma threads zote hapa JF...zinazohusu hilo
Way forward ni njia yeyote ile inclusive
ambayo waislam wengi na wakristo wengi wataiunga mkono
na sio kumuomba Pengo atoe muongozo...Pengo ni kiongozi wa wakatoliki
waislam wanaopinga UDINI huu na vurugu hizi utawatenga ukimleta Pengo kwenye picture
Bora Pengo ajilete mwenyewe na sio kuombwa na Influential Writer kama Mwanakijiji
NI HATARI MNO,na ni udini pia
Kwa hiyo kama thread zote hapa JF zinahusu hilo huo ndio uthibitisho kwamba waislamu wamehusika?
Infact kuna baadhi ya hoja uko sawa kama kuendelea kwa vitendo hivi bila serikali kuchukua hatua ni uzembe wa serikali,hoja ya mwanakiji ni kwamba wakati serikali imekaa kimya na baadhi ya viongozi wa muslim wanaendelea na uchochezi pengo yuko kimya hali ilipofikia zisipochukuliwa hatua za dharura watu watashinikiza viongozi wao deni watoe tamko ili kulipiza kisasi.
Sisemi viongozi wa dini wa Kikristo wakurupuke na kutangaza tuwaue waislam kama ambavyo wao wanawatangazia waumini wao wawaue wakristo, huo siyo ustaarabu wa wakristo! Naamini kama walivyofundisha na kulelewa vema katika Kristo kamwe hawawezi kufanya hivyo. Njia za amani ndiyo mtizamo wa wakristo mahali pote duniani, na katika ukrito kuua ni dhambi.Hesabu za Kikristu hazikokotolewi kwa njia za kiislamu. Upanga urudishwe alani kwake. na viongozi wetu hawahitaji kukurupuka na matamko. Wanachukua hatuahili stahili kulingana na mazingira na ukubwa wa tatizo. Kwa mbinu na njia za Kikristu zenye kulenga kudumisha amani.
Ni mtihani mkubwa sana haya mambo yanatokea... Ni mtihani kwa Waislamu na Wakristo pia. I can understand Mwanakijiji ingawa sikubaliani naye; najaribu kufikiria katika nafasi yake ningekuwa na msimamo na mawazo gani... Najikuta siwezi pata jibu sababu circumstances zake na zangu ni tofauti... Na hali pia circumstances za tukio na matukio ni lazima yapeleke wengi huko na kuwafanya wawe wenye hasira, hasa kwa Imani ya Wakristo.
Boss I support you na uliyosema... I can understand the frustration for I am so frustrated right now na sielewi ni nani nimwelekezee. Sad.
Sio kwamba napinga kwamba kuna tatizo la udini,ila is vyema kulikuza namna hii,kwa nini naona kila mtu anakimbilia conclusion kwamba waislamu wanahusika na hayo mauaji? Jakaya aliishawahi kusema kuna viongozi wa dini wanashiriki biashara ya madawa ya kulevya,what if this could be a reason? Nachoomba mimi ni uthibitisho tu basi,lakini sijasema kwamba hayajasababishwa na msukumo wa kidini.
Ni mtihani mkubwa sana haya mambo yanatokea... Ni mtihani kwa Waislamu na Wakristo pia. I can understand Mwanakijiji ingawa sikubaliani naye; najaribu kufikiria katika nafasi yake ningekuwa na msimamo na mawazo gani... Najikuta siwezi pata jibu sababu circumstances zake na zangu ni tofauti... Na hali pia circumstances za tukio na matukio ni lazima yapeleke wengi huko na kuwafanya wawe wenye hasira, hasa kwa Imani ya Wakristo.
Boss I support you na uliyosema... I can understand the frustration for I am so frustrated right now na sielewi ni nani nimwelekezee. Sad.
Nimeiangalia hii picha. Kwanini huyu Ilunga asikamatwee ? huyu jamaa mjinga sana.
For an influential writer like him
ni hatari mno kuwa carried out na emotions na kuanza
kushawishi watu....
mashabiki wa Mwanakijiji wakiwa convinced na Mwanakijiji kuwa kauli ya Pengo
ina umuhimu mkubwa......kwenye Taifa hili
Ikitokea huyo Pengo kashawishi watu walipize kisasi je?
umeona ilivyo hatari?