Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Cha muhimu ni Tabia na interest tu mkuu sababu hata haya mambo ya chura yamepata kushika kasi kipindi hiki

Tabia na interests si unazijua baada ya kumuona sura kwanza au unapitia hewani mzee baba?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nafikiri hakumaanisha Tabia tu, lakini lazima amuone muhusika kwake sura, chura sio kipaombele


Hapo walao nimekueleweni mkuu!
 
Duh

Mzee Zari ni wa kawaida?No way

Unapenda vitu vikali kumbe!
Zari mkali yupo poa..sema kwa sisi tunaondega sana kwa Museveni jijin kampala waganda uzuri wao ni natural sana...kama ni mweupe ule weupe mzuri kama ni black ule ublack mzuri...
Dada zetu wazuri ila wanamix mavitu yanawaharibu
 
Sema ukiona mtu anajitia mie tabia ujue kaoa bibi yake (sura na mvuto +-0) na sio kwamba haoni kwamba mkewe ndo vile sema atafanyaje sasa na ndo keshakua mkewe [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada hizi sms zako zinatuvunja moyo na Figo sisi tulio kuwa na sura ngumu/sura za baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hili jiwe limenipata jichoni.
 
Point
Mwanamke ni Tabia Kiongozi!! Nasema hivo kwa sababu utakubaliana na mimi binadamu hatufanani hata kidogo( fact of life) yule unaemwona wewe kuwa ni mzuri mwenzako anamwona mbaya...yule unaemwona mbaya mwenzako anamwona mzuri.
Hapo ndipo ukaibuka msemo wa "Uzuri Upo machoni mwa mtu".
Mwanamke kitu cha kwanza ni Tabia..Anaweza akawa na yote hayo mswambwanda, uzuri, tabia ikiwa mbaya ina spoil hivyo vyote.Ndo maana unaweza kuoana wanao olewa ni wa kawaida tu.
Au hujawahi kuona jamaa ni player katembea na ma slay queen, mademu wa town wakali wakali..Msubirie akija kuoa anaoa wa kawaida tu na maisha yanasonga mbele.
Tatizo hawa dada zetu wanaojiona wazuri wanachagua chagua ndo maana wanahangaika sana. Laiti wangejua Upendo unaweza ukautengeneza na mkaishi happy life Forever After......
 
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau
Mkuu Got7 umejoin jana tu 02-01-19 leo mara sura mara kalio du! Mwaka bado mbichi sana mkuu jipange!​
 
Dada hizi sms zako zinatuvunja moyo na Figo sisi tulio kuwa na sura ngumu/sura za baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili jiwe limenipata jichoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikazeni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom