Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

True kabisa, a woman should have a strong character or strong personality, anakua sio muoga hata kwenye decision making,

Sio unamtoa out hata kuagiza chakula chake tu utasikia "chochote tu me nakula" damn!
That's boring.

Hahaha! Trust me...I’ve met such chicks.

Kuna wengine hata ukitaka kumtoa out wanaogopa! Wanaona kama vile ni jambo kubwa sana.
 
Ha ha ha haaaa
Sawa sawa.
We nahisi ungekuwa mnyama basi ungekuwa fisi utani tu mkuu
Haha
Mkuu queen fifi ananibamba sana
Sura nzuri kembamba yaan kako fresh ukitaka picha nishtue nikutumie

Yaan full amani ukiwa nako

Sio mwanamke kutembea nae tu mtu unaogopa maana kichwa mbele mwil mwingine nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu nitumie hizo picha nikaone 😁
 
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau

Chura ndio mpango mzima,sura tutavumiliana tu!

Ila kuoa,baba la baba,chura sioi hata kwa bunduki!
 
Hahaha! Trust me...I’ve met such chicks.

Kuna wengine hata ukitaka kumtoa out wanaogopa! Wanaona kama vile ni jambo kubwa sana.

Hahaha wapo sana hasa dada zetu wa kibongo (i'm sorry ladies nawapenda mnoo ila hapo hua mnaboa, lol)

Unajikakamua umtoe kwenye a nice place looh kwanza mnapoelekea tu ukimshika mkono umeloa jasho kwa woga, (girl pls, we are just eating and leave) kila kitu umuagizie really hata kinywaji!!?
 
Hayo nayo nimapenz, kama anataka unacho penda wew
Hahaha wapo sana hasa dada zetu wa kibongo (i'm sorry ladies nawapenda mnoo ila hapo hua mnaboa, lol)

Unajikakamua umtoe kwenye a nice place looh kwanza mnapoelekea tu ukimshika mkono umeloa jasho kwa woga, (girl pls, we are just eating and leave) kila kitu umuagizie really hata kinywaji!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True kabisa, a woman should have a strong character or strong personality, anakua sio muoga hata kwenye decision making,

Sio unamtoa out hata kuagiza chakula chake tu utasikia "chochote tu me nakula" damn!
That's boring.
Kuna watu hawajiamini kabisa. Sasa hata chakula anaogopa kuorder jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom