Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,827
- 55,627
Sura na tutako tudogo
Hahaha asante,sisi wagonjwa wakupenda miguu na kifua mnatutenga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Caria heri ya mwaka mpyaHongera kwa kupenda miguu kifua wakipenda cha design ya betina au. Ila mswabanda raha una catch attention ya wanaume aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu kampa kila mtu taste yake ili kila binadamu asikose tamanio lake.Sijawahi kupenda misambwanda na sitokuja kuchagua mwanamke mwenye msambwanda .
Napenda vyembamba kama mfano kale ka queen fifi yule wa kwenye dakika kumi za maangamizi
Sent using Jamii Forums mobile app
For public consumptionKama umbo basi Sanchi angekuwa ndoani.
Ha ha ha mwanamke akiwa mbaya kumuangalia usoni ni mtihani,maana unahisi. Labda anaona unamuonajenapenda sana kumuangalia mwanamke usoni
Lol, ukimuangalia usoni tu unamtoa confidence.Ha ha ha mwanamke akiwa mbaya kumuangalia usoni ni mtihani,maana unahisi. Labda anaona unamuonaje