LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Ooh that's my babeLol, najua babe wangu unapenda kunywa nini na unapenda kula nini kwa hiyo popote nakuagizia bila kuuliza.
Nashangaa hawa wa tabia walianzaje kuvutiwa na tabia kabla ya kuvutiwa nje kwanzaMkuu
Upo sahihi sana kwa unachosema....kua tabia ndio kitu muhimu!
Ila by general rule,majority of human beings are not bad people as bad people!
Na kabla hujamjua tabia kwanza unachoona ni sura na umbo kwanza......
Sasa sijui tabia utaijulia wapi bila kumuona mtu mwenyewe physically kwanza?
Na usiniambie ukishaona mtu physically hakuna judgement ulishapitisha kwanza kabla hata hamjaongea ili uweze kujua tabia yake!
Kuna watu hawajiamini kabisa. Sasa hata chakula anaogopa kuorder jamani
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Labda anaogopa asije akamwingiza gharama sana mnunuaji😀
Kwahiyo nikikwambia unifanyie kitu ninachoenjoy kufanyiwa sio mbaya eeh?Kujua sex sio Hujajua nasemea kujua mapenz kivip
Kuna wanawake at sex wao huwa wanajifanya ndio waalimu, ukimwambia fanya hivi, yeye anatoa hoja yake na yeye anakwambia fanya hivi.
Na anakua na mambo mengi kitandan, sheria kibao.
Huyo kundi la wanaojua sex hatumuweki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Easy come Easy Goyeyote wewe twende tu, that's nice
Nashangaa hawa wa tabia walianzaje kuvutiwa na tabia kabla ya kuvutiwa nje kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
labda anaogopa asimwingize jamaa kwenye gharama kubwa😀Kuna watu hawajiamini kabisa. Sasa hata chakula anaogopa kuorder jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hey JCole,
Sidhani kama unasema ukweli mkuu!
Hahahahaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna watu bado wanaisha kwenye Utopia dada yangu!
Mtu anadanganya waziwazi!
Ooh ok!! Awe wa kawaida tu asiwe msambwanda sana na kasura ka kuvutia kimtindo..dizaini fulani kama ya zari the boss lady...awe kati kati hao ndio my favouriteMkuu
Upo sahihi sana kwa unachosema....kua tabia ndio kitu muhimu!
Ila by general rule,majority of human beings are not bad people as bad people!
Na kabla hujamjua tabia kwanza unachoona ni sura na umbo kwanza......
Sasa sijui tabia utaijulia wapi bila kumuona mtu mwenyewe physically kwanza?
Na usiniambie ukishaona mtu physically hakuna judgement ulishapitisha kwanza kabla hata hamjaongea ili uweze kujua tabia yake!
Kwahiyo nikikwambia unifanyie kitu ninachoenjoy kufanyiwa sio mbaya eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaahahha.,Kwahiyo nikikwambia unifanyie kitu ninachoenjoy kufanyiwa sio mbaya eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ukiona mtu anajitia mie tabia ujue kaoa bibi yake (sura na mvuto +-0) na sio kwamba haoni kwamba mkewe ndo vile sema atafanyaje sasa na ndo keshakua mkewe [emoji23][emoji23]Kuna watu bado wanaisha kwenye Utopia dada yangu!
Mtu anadanganya waziwazi!