Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Mwanamke ni Tabia Kiongozi!! Nasema hivo kwa sababu utakubaliana na mimi binadamu hatufanani hata kidogo( fact of life) yule unaemwona wewe kuwa ni mzuri mwenzako anamwona mbaya...yule unaemwona mbaya mwenzako anamwona mzuri.
Hapo ndipo ukaibuka msemo wa "Uzuri Upo machoni mwa mtu".
Mwanamke kitu cha kwanza ni Tabia..Anaweza akawa na yote hayo mswambwanda, uzuri, tabia ikiwa mbaya ina spoil hivyo vyote.Ndo maana unaweza kuoana wanao olewa ni wa kawaida tu.
Au hujawahi kuona jamaa ni player katembea na ma slay queen, mademu wa town wakali wakali..Msubirie akija kuoa anaoa wa kawaida tu na maisha yanasonga mbele.
Tatizo hawa dada zetu wanaojiona wazuri wanachagua chagua ndo maana wanahangaika sana. Laiti wangejua Upendo unaweza ukautengeneza na mkaishi happy life Forever After......
 
Picha tafadhali. Ikifika robo saa hujaweka picha huu Uzi wako utakuwa batili na Mods wata"UFYEKELEEAA MBAALI".

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja TUULINDE UZI..
IMG_20181019_063144_008.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wapo sana hasa dada zetu wa kibongo (i'm sorry ladies nawapenda mnoo ila hapo hua mnaboa, lol)

Unajikakamua umtoe kwenye a nice place looh kwanza mnapoelekea tu ukimshika mkono umeloa jasho kwa woga, (girl pls, we are just eating and leave) kila kitu umuagizie really hata kinywaji!!?
Babe, kwa hili naomba utanivumilia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni Tabia Kiongozi!! Nasema hivo kwa sababu utakubaliana na mimi binadamu hatufanani hata kidogo( fact of life) yule unaemwona wewe kuwa ni mzuri mwenzako anamwona mbaya...yule unaemwona mbaya mwenzako anamwona mzuri.
Hapo ndipo ukaibuka msemo wa "Uzuri Upo machoni mwa mtu".
Mwanamke kitu cha kwanza ni Tabia..Anaweza akawa na yote hayo mswambwanda, uzuri, tabia ikiwa mbaya ina spoil hivyo vyote.Ndo maana unaweza kuoana wanao olewa ni wa kawaida tu.
Au hujawahi kuona jamaa ni player katembea na ma slay queen, mademu wa town wakali wakali..Msubirie akija kuoa anaoa wa kawaida tu na maisha yanasonga mbele.
Tatizo hawa dada zetu wanaojiona wazuri wanachagua chagua ndo maana wanahangaika sana. Laiti wangejua Upendo unaweza ukautengeneza na mkaishi happy life Forever After......

Mkuu

Upo sahihi sana kwa unachosema....kua tabia ndio kitu muhimu!

Ila by general rule,majority of human beings are not bad people as bad people!

Na kabla hujamjua tabia kwanza unachoona ni sura na umbo kwanza......

Sasa sijui tabia utaijulia wapi bila kumuona mtu mwenyewe physically kwanza?

Na usiniambie ukishaona mtu physically hakuna judgement ulishapitisha kwanza kabla hata hamjaongea ili uweze kujua tabia yake!
 
Kujua sex sio
Demu anaejua sana sex sijui kwanini hua nawaogopa mazima!

Demu akiwa mjanja mjanja kwenye sex,porn type,bro sirudiiii!
Hujajua nasemea kujua mapenz kivip

Kuna wanawake at sex wao huwa wanajifanya ndio waalimu, ukimwambia fanya hivi, yeye anatoa hoja yake na yeye anakwambia fanya hivi.
Na anakua na mambo mengi kitandan, sheria kibao.

Huyo kundi la wanaojua sex hatumuweki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua sex sio Hujajua nasemea kujua mapenz kivip

Kuna wanawake at sex wao huwa wanajifanya ndio waalimu, ukimwambia fanya hivi, yeye anatoa hoja yake na yeye anakwambia fanya hivi.
Na anakua na mambo mengi kitandan, sheria kibao.

Huyo kundi la wanaojua sex hatumuweki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa hommie!
 
Huwez kuelewa kama wew sio mfatiliaji wa tabia za watu.

Kwenda sokon ni swala la kawaida nani jambo ambalo halikwepeki kwan kila siku mtapika nyumban.

Lakin binti ane waza kwenda kupiga picha kila siku wew huon tatizo hapo kabisa???

Sasa wew huna kazi huna kipato, umri wa kuolewa, hizo picha zakusaidia nn??? Na huku wew sio msanii.
Na unaweza kumuuliza vip huwa unakuja huku kupiga picha mala kwa mala kanakujibu ndio yani napenda sanaaa.

Upuuzi mtupo, picha zimekua chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
ahaahhahahah
 
Back
Top Bottom