tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Sifa chache sana hizo,Mwanamke ni sura, umbo na akili kichwani(simaanishi elimu hapo kwenye akili)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Mwanamke ni pambo yes, ukiliweka ndani sharti likuvutie muda wote.
Mkuu ni Nchi siyo moja.
😂😂😂😂😂😂
Sawa sawa
Kwanza kabisa awe vizuri kichwani yaan ajielewe na kujitambua yeye ni nani na awe proud kua yeye, pili sura itazamike sababu napenda sana kumuangalia mwanamke usoni halafu nashuka mpaka kifuani lol, mengine ni ziada tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fuatilia ni nchi gani saa hii ni 00:38PMMkuu ni Nchi siyo moja.
Kwa hiyo wewe uko nchi gani sasa?
Tabia utaionaje kabla hujavutiwa na vya nje? Hivi vya tabia ni wale mnakua karibu. Ila kina sisi tunaokutana mtaani tu huko lazima kuna kitu kinakuvuta kwanza ambacho sio tabia
🤙First and foremost, in my opinion, it’s strength of character.
Hiyo ndo msingi, figuratively speaking.
Hilo likisha kuwa settled ndo hayo yaliyo superficial yanazingatiwa kwa nafasi yake.
Ha ha ha haaaaaaaaaaaHakuna kama chura![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 984483
Ni kweli first of nahisi ita kuwa Sura au WowowooooTabia utaionaje kabla hujavutiwa na vya nje? Hivi vya tabia ni wale mnakua karibu. Ila kina sisi tunaokutana mtaani tu huko lazima kuna kitu kinakuvuta kwanza ambacho sio tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
OoraitKwanza kabisa awe vizuri kichwani yaan ajielewe na kujitambua yeye ni nani na awe proud kua yeye, pili sura itazamike sababu napenda sana kumuangalia mwanamke usoni halafu nashuka mpaka kifuani lol, mengine ni ziada tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haaaaSijawahi kupenda misambwanda na sitokuja kuchagua mwanamke mwenye msambwanda .
Napenda vyembamba kama mfano kale ka queen fifi yule wa kwenye dakika kumi za maangamizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na muda mchache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipite kimyq maana vyote havipo na mambo ni mengi [emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu kila siku wataendelea kudangwa na kupewa mbuzi kwenye guni.Tabia utaionaje kabla hujavutiwa na vya nje? Hivi vya tabia ni wale mnakua karibu. Ila kina sisi tunaokutana mtaani tu huko lazima kuna kitu kinakuvuta kwanza ambacho sio tabia
Sent using Jamii Forums mobile app