Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,873
Hata sijaelewa umeandika niniWapumbavu kila siku wataendelea kudangwa na kupewa mbuzi kwenye guni.
Sasa mim nikionana na msichana mala ya kwanza photo shop, na mwingine kwa mala ya kwanza sokoni, kabeba mipini ya jembe.
Unahisi had hapo sijaanza kujudge tabia yoyote hile????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app