MwanaHALISI: Lowassa ashinikiza uwaziri

kumbe kuna watu bado wanaamini habari za kubenea. mwanahalisi, uhuru, rai, tanzania daima na habari leo ni magazeti ya kuchakachua habari.

toka kubenea aanze kuandika habari za lowasa ni habari ipi japo imekuwa kweli?

kubenea anamtumia lowasa kuuza magazeti yake wala hana sosi yoyote ya maana ccm. mnaonunua magazeti yake mnaibiwa na kumtajilisha huyo kubinua
 
hawa jamaaa wakirudi tena, naandaa vijana, na kuingia msituni, ,,,,,,,,,potelea mbali. huu ni udhalimu uliokithiri. Watanzania tuamke sasa.!!!
 
Baadhi viongozi wa Tanzania ni mafisadi sana wanapenda sana kujilimbizia mali nyingi na kuwadhulumu walio wengi sana wanafanya watu waishi kwa uduni mkubwa sana na dhiki, hawakumbukia kwaba nao siku moja mauti itawachukua, na kwamba siku moja watakutana na Mwenyezi Mungu kwenye kiti cha enzi. Na hapo itabidi watoe hasabu yote wa matendo yao huku duniani. Hawa jamaa wamewaibia sana watanzania mali zao na hata haki zao. Eeh Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania na watu wake,​
 
Jamani hivi mtu ukishakuwa waziri mkuu
ni rahisi tena kuwa waziri wa kawaida
Tangu nimeifahamu Tanzania ukishakuwa waziri mkuu nafasi inayokufaa ni urais

hata six ni ngumu kuwa prime minister maana uspika ni zaidi ya uwaziri.....
Hili mwalionaje?
 
Lowassa hii ndoto yake ya kuwa rais inabidi aifute kwa sababu anataka mwaka 2015 apate pressure ambayo pia itasababisha ukomo wa CCM
 
Tuache tetesi na fununu, Rais atafuata utaratibu wa ufanisi na maadili mema kama alivyofanya kwa Mh. Pinda. Tungependa Bunge liwathibitishe mawaziri wote ili kupata timu bora zaidi, kwani rais pekee wanampiga sana chenga mawaziri lakini bunge lipo makini sana.
 
Kama sio propoganda maana haya magazeti yetu sio ya kuyaamini 100%. Ila kweli kama ikitokea hivyo mimi naona Jeshi lichukue nchi tu maana huu utakuwa sasa ukichaa. Au watu waandamane kutokuwa na imani na Rais.
 
hawa jamaaa wakirudi tena, naandaa vijana, na kuingia msituni, ,,,,,,,,,potelea mbali. Huu ni udhalimu uliokithiri. Watanzania tuamke sasa.!!!

wanaojilipua muhanga sio wajinga ni kwamba system haiwatendei haki kwa njia sahihi za kisheria kama kupiga kura, isijefika mahali watu wakaanza kutoana roho kwa sababu wamedhulumiwa haki zao, naamini ndio tunaelekea huko
 
Kitu kimoja kibaya sana JK anachoweza kukifanya ni kumpa EL Wizara ya Habari., Utamaduni na Michezo. Atayashughulikia vilivyo, na pengine kuyafungia magazeti kama MwanaHALISI, Raia Mwema, Tanzania Daima na hata Mwananchi. ITV ya Mengi nayo itakuwa hatarini kufungiwa ikiwa itazidi kujiweka mstari wa mbele katika vida dhidi ya ufisadi.

Kina EL na RA hawataki kuona vita hiyo ikiendelezwa kwenye vyombo vya habari kwani itakuwa kila mara inawagusa wawili hao na hivyo kuondoa ndoto zao za kushika nchi mwaka 21015.

noted:nono:
 
Yote haya ni maandalizi ya kumusafisha Lowasa aweze kuwania urais 2015. Hivyo mbio za Chege za kutaka uwaziri zinaweza kuishia sakafuni lakini siyo za Lowasa. Iweje ni lazima Lowasa arudishwe kundini.

EL ni MKRISTO wa ajabu sana na anatisha mno. Sifa zake mbaya ni hizi:
  • anaonekana analengo la kutaka kulipa kisasi dhidi ya Samuel 6, ndo maana ana-force uwaziri kwenye wizara nyeti ama,
  • anaendeleza nguvu/mabavu kwa nia ya kuusaka urais 2015
Huyu hakupaswa kabisa kujiita Mkristo ni heri awe MPAGANI tu, asiye amini MUNGU huyu hafai kabisa.

Je, JK atampa kweli huo uwaziri? hapa ndo tutauona uswahiba wao!!!!

Lowassa si-ubuyu si-ukwaju CHACHU tupu. Hafai huyu kUTAFUNIA wala KULUMANGIA.
 
Wish you best of luck Kikwete, historia ya nchi hii itakuhukumu kuwa wewe ndiye uliyewahi kuwa the most hopeless president of the URT!! Mimi kama ningelikuwa wewe, ningelidondosha misalaba yote niliyojitwisha kwenye kipindi cha kwanza cha uongozi na kujitengenezea historia nzuri ya kuja kukumbukwa kama rais muungwana aliyepata kutokea hapa TZ!
 
Jamani hivi mtu ukishakuwa waziri mkuu
ni rahisi tena kuwa waziri wa kawaida
Tangu nimeifahamu Tanzania ukishakuwa waziri mkuu nafasi inayokufaa ni urais

hata six ni ngumu kuwa prime minister maana uspika ni zaidi ya uwaziri.....
Hili mwalionaje?

Inawezekana, kwa uchache tu muulize Cleopa David Msuya. John Samweli Malecela, Marehemu Rashid Mfaume Kawawa..................
 
nadhani mwanahalisi wabadili jina waitwe UDAKU WA LOWASSA NA ROSTAM...

too much if anything is harmful
 
:bowl::bowl:Mi kwa mtazamo wangu natoa angalizo hii nchi ni ya watanzania wote na kila mtu anahaki ya kuchaguliwa na kuchagua,kila mtu ananafasi ya kuwa kiongozi na kuongozwa, kwa wenzetu hawa akina EL NA AC na kuwadi wao ROSTAM ifike mahali wananchi tuseme imetosha tena kwa sauti ya ju kabisa IMETOSHA! IMETOSHA! IMETOSHA!!, tuliwachagua wakatutumikia wakatuibia vyakutosha sasa BASI, hili si suala la watu fulani wenyeitikadi fulani,hapana, hili ni suala la KITAIFA uwe ndani ya CCM au vyama vingine SURA HIZI ZIKING'ARA TU KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI TUANDAMANE KWA PAMOJA ILI KUONYESHA KUWA TUMECHOSHWA NA MAFISADI. na huyu wanayemwita JK awe makini alizaliwa peke yake na atakufa peke yake ameapa kuitetea katiba na afanye hivyo.:bowl::bowl:
 
kumbe kuna watu bado wanaamini habari za kubenea. mwanahalisi, uhuru, rai, tanzania daima na habari leo ni magazeti ya kuchakachua habari.

toka kubenea aanze kuandika habari za lowasa ni habari ipi japo imekuwa kweli?

kubenea anamtumia lowasa kuuza magazeti yake wala hana sosi yoyote ya maana ccm. mnaonunua magazeti yake mnaibiwa na kumtajilisha huyo kubinua

Jenny tumekusikia naona unajitahidi kumtetea mzee!! wewe hukupata nafasi ya viti maalum?:smile-big:
 
Back
Top Bottom