MwanaHALISI: Lowassa ashinikiza uwaziri

MwanaHALISI: Lowassa ashinikiza uwaziri

How shameful it is for prime minister to fight for the post of the lower status. Kisha itabidi tunaakikisha mafao yake ya uprime yanasimamishwa ili kukwepa kumlipa mtu mmoja marambili. Hii ni hatari kwa taifa ili masikini.
 
How shameful it is for prime minister to fight for the post of the lower status. Kisha itabidi tunaakikisha mafao yake ya uprime yanasimamishwa ili kukwepa kumlipa mtu mmoja marambili. Hii ni hatari kwa taifa ili masikini.

Kama hii ni kweli, basi atakuwa anajishushia hadhi sana, regadless ya sababu zinazomfanya awepo kwenye wizara this time.

Watu huwa wanapanda kutoka chini kwenda juu, na sio kutoka Juu Kwenda Chini, this is too low for him,

Shame on Him, Shame on Kikwete if atakubali
 
I don't think you know JK. He is an unshinikizwable presido.

What? Kweli hujui kwamba huyu mtu anashinikizwa kiurahisi sana, tena hata kwa sababu ndogo kabisa! Sababu zingine za kutia aibu.

he is the most easily influenced president ever appeared in this country.
 
Shindwa shetani shindwa sitaki kusikia hii LOWASAAA??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? NCHI IMEKWISHA..................LOWASA???????????????????????????? NI KWELI AU UNATANIA????????????????????????????
 
wampe fasta huo uwaziri anaotaka kumpa ili wazidi kujiua zaidi, hii itatuwezesha kupata ushindi wa kishindo zaidi pindi 2015!!!
 
You are so much divided to fight with an enemy! You are too many to unity. They are very fewer but they are effective, united and much more stronger. They deeply think and act, you simply talk the acts!

The winning group will be the one which is well united with great thinking and strategies. Hundred words cant stop the bulldozer to proceed. If you cant keep your secrecy the group can. If you talk the inside you uncover the actions, you are the one and no one to blame!

God Bless Tanzania!!

I really liked this,....,though looks like some kind of quotes just copied from somewhere and pasted here!
 
Shindwa shetani shindwa sitaki kusikia hii LOWASAAA??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? NCHI IMEKWISHA..................LOWASA???????????????????????????? NI KWELI AU UNATANIA????????????????????????????
Post nyingine huwa zinachekesha kiasi kwamba nashindwa kuelewa jamaa alikua anafikiria nini kuandika hivi

LOL
 
Politics, it seems to me, for years, or all too long, has been concerned with right or left instead of right or wrong
 
Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anadaiwa kumshinikiza Rais JK amrejeshe katika baraza la mawaziri,imefahamika.Lowassa ameomba kupatiwa nafasi ya kuongoza wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa,au wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa.Habari zilizothibitishwa na mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu katika chama cha mapinduzi (CCM) na ambaye yuko karibu na rais JK na Lowassa ,zinasema shinikizo la lowassa limekuwa kubwa kiasi ambacho linaweka rais njiapanda.

Source 🙁Mwanahalisi,Novemba 17-23,2010,pp.1-6 )

My take:
Duh!hivi huyu lowassa anataka nini jamani?mbona ametuganda kama ruba!!

lowasa anafaa apewe wizara yoyote mimi nakubali atafanya kazi
 
Observation:

wanaJF wengi waliojoin mwaka huu huwa ni pro-government. Nashangaa leo wengi wao hawampendi Lowasa. Kunajambo!
 
Lowasa ni mchapa kazi.

Huwa hana longo longo anaweza kumfukuza kazi mtu mara moja!!!
 
Akikufukuza kazi ujue ulikuwa umeweka giza kwa dili lake binafsi na sio utendaji wa umma, kwani hao wezi walioiba bagamoyo hadi mtoto wa mkulima akawafukuza si walianza na kasi mpya?
 
duh el toka ajiuzulu alikuwa ni mtu wa huzuni bungeni ila toka sita atimuliwe amekuwa na tabasamu la kufa mtu ever smiling guy
 
Wananchi wataingia mitaani kupinga uteuzi wa EL. Kama huyo JK anataka amani ivurugwe basi amteue huyo rafiki yake. Hapo ndiyo atajua kuwa watanzania hawataki upuuzi kwenye maendeleo ya nchi yao. The day is coming, I can see it pale mtu atatandikwa aidha mawe au..........kwa sababu ya kutosikiliza wenye nchi.
 
"a false alarm"!

Kosa kubwa analoweza kufanya Kikwete ni kuwarudisha Andrew Chenge na Edward Lowassa katika Baraza la Mawaziri! Ni afadhali aanzishe Kadhi Court kuliko kufanya kosa kama hilo. Ni vyema akachagua mawaziri "proxy" wa EL and AC
 
JK amewekwa kwenye mfuko wa RS na EL ni mchocheaji. JK anataka kujinasua lakini hataweza mpaka asaidiwe; hilo analijua lakini kwenye chama chake hakuna wa kumsaidia. Hili jahazi sioni jinsi ya kuliokoa! Litazama hakika nashauri kila mmoja aangalie lilipo life jacket lake.
 
Naisubiria kwa hamu hiyo dream team itakayoundwa kwa na Jay K, kama alivyokawaida yake ataushangaza umma sijui,
 
Back
Top Bottom