TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anadaiwa kumshinikiza Rais JK amrejeshe katika baraza la mawaziri,imefahamika.Lowassa ameomba kupatiwa nafasi ya kuongoza wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa,au wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa.Habari zilizothibitishwa na mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu katika chama cha mapinduzi (CCM) na ambaye yuko karibu na rais JK na Lowassa ,zinasema shinikizo la lowassa limekuwa kubwa kiasi ambacho linaweka rais njiapanda.
Source 🙁Mwanahalisi,Novemba 17-23,2010,pp.1-6 )
My take:
Duh!hivi huyu lowassa anataka nini jamani?mbona ametuganda kama ruba!!
Source 🙁Mwanahalisi,Novemba 17-23,2010,pp.1-6 )
My take:
Duh!hivi huyu lowassa anataka nini jamani?mbona ametuganda kama ruba!!