Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Mkuu nimekupata lakini kama ningeshadadia ndivyo ingevuma zaidi,hivyo nilivyofanya hata my colleagues know nothing.
 
Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.

Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.

unajua watu wengi hawatumii muda wa kutosha kujitathmini na kujijua kiundani zaidi kua wao ni akina nani...........
kuna uwezekano mkubwa hao watoto wakawa wamemsaidia mwalimu wao na hali hiyo itamfanya ajitathmini zaidi hasa kujiuliza maswali yafuatayo....je ye yupo kike kike au kiume? ikumbukwe kua sio kila mwenye jinsia ya kiume ni mwanaume rijali, hata aunty Kessy wa magomeni alikua na jongoo lakini katika akili na fikra zake alikua mtoto wa kike tena mwenye hisia za kuolewa na kushughulikiwa kisodoma.
 
Reactions: B40
Mkuu nimekupata lakini kama ningeshadadia ndivyo ingevuma zaidi,hivyo nilivyofanya hata my colleagues know nothing.
Anyway Chunga vitu kama hivyo darasani kwako bila ya Discipline hakuna Academic achievement daima huwa hivyo maana utakuwa unafundisha lakini mwanafunzi anakuona wewe kama Katuni mbele ya Darasa hivyo hato zingatia wala kuelewa kitu darasani!!!
 
Reactions: B40
Mkuu Mimi sina hizo features za gay,ni mwanaume niliyekamilika ninayeweza kumridhisha mwanamke yeyote.
 
Mkuu Mimi sina hizo features za gay,ni mwanaume niliyekamilika ninayeweza kumridhisha mwanamke yeyote.

basi kama wewe rijali kaza sasa mwili wako usiwe na umbo au sura ya kirembo nakushauri nenda dojo akafanye mazoezi ya judo, kung fu au krav maga.....
otherwise utazidi kudhalilika pia usiwe mpole kiivo madogo wa siku hizi hawana adabu
 
Anyway Chunga vitu kama hivyo darasani kwako bila ya Discipline hakuna Academic achievement daima huwa hivyo maana utakuwa unafundisha lakini mwanafunzi anakuona wewe kama Katuni mbele ya Darasa hivyo hato zingatia wala kuelewa kitu darasani!!!
Mkuu huwa Niko charming wakati nafundisha ili kujenga good rapport Na pupils,lakini huwa sina unnecessary jokes with them,this came as a surprise to me.
 
Ukiwa unaandika kwa Ubao itakuwa huku nyuma unawamwagia radhi jaribu kukaza viungo.
 
Reactions: B40
Itakuwa una wezere kama dada yao,weka picha tuhakiki
 
Reactions: B40
utakuwa una jiremba kabisa wewe Sir
 
Reactions: B40
We jamaa unaejiita B40 ni kiaz sanaaa..
Unaambiwa tuma picha ako tutathimn kama kweli umefanana na dada Neema hutaki sasa cjui unataka ushauriwe nn?
Hii mada ingekuwa poa ungeipeleka kwa wazazi wako waijadili maana wao ndo wanakujua zaid
 
Reactions: B40
hahahahaha braza angalia, maana watoto huwa hawasemi uongo inawezekana matendo yako yanafanana na Neema dada yao
 
Reactions: B40
Acha kunyoa nywele za kidevun, vaa nguo za suti suti, usipende kushika shika simu, usipake mafuta yeyote wala unyunyu, piga na cigar kdg
 
Reactions: B40
We jamaa unaejiita B40 ni kiaz sanaaa..
Unaambiwa tuma picha ako tutathimn kama kweli umefanana na dada Neema hutaki sasa cjui unataka ushauriwe nn?
Hii mada ingekuwa poa ungeipeleka kwa wazazi wako waijadili maana wao ndo wanakujua zaid
Hivi nikikutumia picha unaweza badili muonekano wangu mkuu?Na ikiwa ninafanana Na Huyo dadake,utanisaidiaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…