the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
ajiunge na kikundi chetu kile cha wana beard battalion..mwanaume aliyekamilika lazima awe na minywele usoniFuga ndevu wewe
ajiunge na kikundi chetu kile cha wana beard battalion..mwanaume aliyekamilika lazima awe na minywele usoniFuga ndevu wewe
Nashukuru sana mkuu kwa tathimini iliyo balanced.Kwenye maisha kuna vitu unaweza kuchagua kua navyo na vingine huna uwezo wa kuchagua kua navyo au kuto kua navyo; kimoja wapo ni mwonekano wako wa sura hilo hupangi wewe; yawezekana wewe unafanana na mama yako na sio baba yako, that much is out of your capacity, you cant change it ni suala la Mungu na wala sio wazazi wako wala wewe, ni issue ya uumbaji wa Mungu mwenyewe. So yawezekana kweli umefanana na dada yao huwezi jua. Nakupongeza sana kwa jinsi ulivyo wa treat hao watoto cause ungewapiga ukweli ni kwamba wala wasingeelewa kosa lao ni lipi, wao wanaona umefanana na dada yao and that is not one of their mistake. Kweli wewe ni mwalimu na mimi nakupongeza. Nimeandika haya nikiwa sijasoma comment ya mtu hata mmoja kwenye uzi wako so sielewi stands za wenzangu concerning this, to me I give you 5
Hahaaahaa huwezi amini umeniacha hoi.Mimi avatar yangu inaonyesha nikoje?![]()
Usijali watoto wadogo hawanaga shidaMkuu hata kama duniani wawili wawili ndio kwa nifananishwe Na msichana dah!
Ningewaambia "Peale, Speak English"Wakuu wenzangu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Sasa Leo nikiwa katika kipindi nafundisha na kuandika notisi,kuna kitu cha ajabu kilitokea, mtoto mmoja wa kike aliita sir, nikageuka kumsikiliza akasema"mwalimu Neema kasema eti huyu mwalimu ilibidi awe msichana"(mimi)
Je, wakuu ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani, ili kama nimekosea niboreshe.
Hapana mkuu ni utoto wao tu.Asante ila nilifikiria kuacha kufundisha hillo darasa