Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

aisee hizo ni changamoto tu za kimaisha go forward ualimu unahitaji moyo
 
Reactions: B40

Mkuu itakuwa chura wako mnono ndio amekuponza
 
totally amaizing answer ...inspire others ....so wonderful
 
Mara nyingi watoto huwa wanasema ukweli.
sawa but mara nyngi huwa wanatania na kutaka kujua utasemaje wewe kama mkubwa waoo..hawapendagi kufundishwa huku wamenuna au wamechukia..wanapenda kufurahii..utoto nao kazi bwanah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…