Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Wala hamna tatizo hapo, hao ni watoto tu. Huwa wana tabia ya kudadisi na kutaka kujua mengi. Sema wanadadisi kwa namna mbali mbali, Wala hawajui kwa nini kuna mwanaume na mwanamke mkuu... Huwa wanaongea tuu
Ni kweli sema watu wameandika bila kushirikisha akili ( sio wote)
 


Pole mkuu ila watoto wadogo huwa wanasema kweli ingekuwa wa sekondari ningesema labda wanekudharau, jaribu kujichunguza muonekano wako pamoja na mavazi uwapo darasani pia namna ya vitendo unapofundisha.

ukiona kuna hali ya kikekike jirekebishe haraka mkuu... au jaribu kumdadisi kiongozi yoyote wa hapo darasani kama ni monita au kiranja na atakacho kwambia jirekebishe ili usije tungwa jina maana wanafunzi nawafahamu!!
 
Reactions: B40
Kuhusu tabia hizo za kikekike sina
 
Fanyia kazi hayo waliokwambia wanafunzi kwa kujiweka kiume Zaidi ndugu yangu. Watoto uwa hawa-fake wanasema ukweli ingawa wamekosea tu jinsi ya kuwasilisha ujumbe kwa utoto wao. Nakushauri jitahidi kutengeneza mwonekano wa kiume kwa kufanya mazoezi ya kukuweka ukae kibabe pia vaa nguo zisizobana sana mwili wako ili usionyeshe maungo yako uenda yanaonekana kike kike. Washukuru hao watoto wamekufikishia ujumbe ambao mtu mzima asingekwambia. Pia wasamehe kama ulivyofanya maana ni watoto na wamekupa ujumbe sahihi kwa njia ya kitoto.

Kuna kipindi nilikuwa na stress sana na nikawa nakasirika ovyo, kukunja sura na kukaa peke yangu. Familia nzima ilikuwa inaogopa hali hiyo. Kuna siku last born wangu alinichana live kuwa nimekuwa baba mbaya nakasirika ovyo, siwapendi na pia nakunja sura inakuwa mbaya kama jambazi. Nilibadilika baada ya hapo maana kwa umri wake alisema tabia zangu ingawa aliwasilisha ujumbe kitoto ila nikagundua kuwa stress zangu zinawaletea matatizo na wao
 
Reactions: B40
Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.

Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.
Achana na Avatar mkuu!!!mwalimu alikuwa anafundisha na anaandika ubaoni.Tambua ukiwa unaandika ukigeukia ubao wao wanafunzi unawapa mgongo na makalio.So hapo ndipo kwenye tatizo,sio avatar ni shape ya nyuma ya mwalimu.Inaonyesha anamakalio kama ya mtoto wa kolomoje
 
Pole mkuu ndo changamoto ya kazi and umetumia proffesionalism ipasavyo kumaliza tatizo
 
Haya bhana!!
 
Kabla ya kuleta hii mada hapa ulitakiwa kuwa umekwisha mpatia dose ili apate 'real information'.
 
hahaha acha kutafuta kiki bro kwa wadada wa JF wakujue wewe ni handsome!! si useme tu?
 
Reactions: B40
Weka picha yako mkuu tutajua cha kusema
 
Jichunguze., Kama unavaa vimodel uache mara moja., Yumkini ilo umbo lako linaonekana ni janga kama sio sura..!! Had watoto Wame notc..!!
Utakuwa unavaa nguo zinazokushika sana mwili na kuonyesha mwili wako....acha kuvaa vimodel
 
hahaha acha kutafuta kiki bro kwa wadada wa JF wakujue wewe ni handsome!! si useme tu?
Ndio mawazo yk sikulaumu,nadhani ktk mapenzi bora kutazama tabia zaidi kuliko muonekano maana hujafa hujaumbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…