GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,240
Yakinikuta nitaomba namba yake, ili tukafananishane vizuri.Mmmh! Yatakukuta
Yakinikuta nitaomba namba yake, ili tukafananishane vizuri.Mmmh! Yatakukuta
Mdaku
Ndio mkuu na mm naona bora afutwe kazi akalime kdg huenda akakazanaUnahitaji cancelling

mhh cocochanel!!!Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.
Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.
Mkuu umeongea uloongea yanatosha, kama ana akili atakuwa kaelewaWatu wazima wakisema jambo kuna uwezekano ikawa chuki, unafiki, kukudharaulisha, figisu figisu, wivu, bifu n.k... Lakini mtoto mdogo akisema kitu he/she is very honest, huwa hawana unafiki hata kama anakuchukia.
Mkuu jichunguze, ongea yako, uvaaji wako, movement ya mwili, behavarial patterns, body language n.k. Kama basi walirefer kutokana na sura yako, basi usiwe na shaka, wachukulie kama watoto tu.
Hahaha. Na ya kwako inaonyesha mgomvi mgomvi...
mh huenda ndo umefanana nae mkuuMkuu hata kama duniani wawili wawili ndio kwa nifananishwe Na msichana dah!
Walipofika nikataka kiini cha Neema kusema vile akasema akaniangalia nilivyo eti nimefanana na dada yake Dah! Nilikasirika sana ila Neema akajitetea kuwa hata rafiki yake aliemtaja yeye naye husema hivyo hivyo.