[emoji2][emoji2][emoji23] D mbili tu zinakushinda alafu watu wakipata As unaungua moyo hajui wamewekeza pesa na muda wao kusoma...Semeni yooote ila as a teacher namuelewa dogo watoto wa shule za kata sio wasomaji kabisaaa km D mbili mtu anakosa za div 4,kweeeli?!!guys Ht kiswahili still wanafunzi wanapata F
Mtoto anaepata zero necta ni bure
Yaani jamani, hebu imagine...mtu anakosa za div 4,kweeeli?!
Humu kuna vizazi vya watu waliojikatia tamaa na kujifia kabisa. They are walking dead.Humu pamejaa wachawi tupu.
Hawa ndio wanaotuloga.
Acha wivu mkuu[emoji3]Mwisho wao wanadondokea upinde
Sasa mkuu hapo wao kufanya mchujo kosa lao liko wapi?binafsi nimesoma kwenye moja kati ya hizo shule kubwa, msifuate sana mkumbo wa kupeleka watoto shule hizo, wanachagua watoto wenye akili tu. Nakumbuka interview tulikua tunafanya watu zaidi ya 5000 tanzania nzima, lakini tukachukuliwa 180 tu.... walisema wanaangalia waliofaulu hisabati kuanzia alama ya 85% kwenda juu, halafu wanachukua top 180 kutoka hapo.....
Ingekua wanachukua watoto ambao wako taratibu kujifunza halafu wanawafaulisha, basi hapo ndo wangekua wako vizuri. Wanachuja wanafunzi wazuri ili wafaulishe sana, halafu hii dhana waitumie kwenye marketing....
Wengine wanasema mitihani mirahisi wengn wanasema shule ngumu
Sio shule zote za kulipiaUtofauti uliopo kati ya Shule za serikali na Shule za Kulipia ni Mkubwa mno kuanzia Hata kwny Mindset tu ya Mwalimu na Mwanafunzi husika,
Mfano Halisi anzia tu Hata Mtaani kwenu angalia watoto wanaosoma Internationa schools na Hizi za Serikali yani Utaona kabsa Maji na Mafuta vilee vinajitenga.
Watt wa Shule za serikali wakilud nyumbani kazi Kuangalia Singeli na Nyimbo za Amelowa hku wakisindikizwa Na migogoro ya Baba na mama ndani ya Nyumba hivi unafkiri hyo mtoto Saikolojia yake itakuw sawa kweli ?
Mambo ni mengi sana nataman hat nianzishe Thread yangu kabsa nielezee hili kiundani ila Kiufupi Ufaulu wa Mtoto unaanzia Na Misingi ya Wanafamilia/kifamilia.
Shule za Serikali za Kata zina wanafunzi ambao wanasoma sababu wamelazimishwa kusoma.Semeni yooote ila as a teacher namuelewa dogo watoto wa shule za kata sio wasomaji kabisaaa km D mbili mtu anakosa za div 4,kweeeli?!!guys Ht kiswahili still wanafunzi wanapata F
Mtoto anaepata zero necta ni bure
Acha wivu na chukiDogo haelewi kwa nini watu wanafeli mitihani, kadri atakavyokua ataelewa kwa nini hao waliofeli mitihani ya form four wamekuja kutusua maisha kumzidi. Ndo atajua maisha ilikuwa zaidi ya kufaulu ile mitihani ya darasani.....
Sihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
hayo ni maoni siwezi kukwambia upeleke au la. Ila hilo la kuvutia zaidi waislamu naona umeongeza chumvi kwa vile tayari you are prejudiced.Ndiyo. Kwangu binafsi kumpeleka mtoto shule ya Kituruki ni hapana. Hii shule mwanzilishi wake ni Mwanazuo wa Kiislamu mwenye siasa kali. Hii shule inawavutia zaidi Waislamu.
That’s a fact: zaidi ya asilimia 50 ya wanafunzi Feza Schools ni waumini wa Uislamu. Nashangaa kwanini Wdturuki wenye mrengo mkali wa Kiislamu wafungue shule Tanzania: lengo lao ni nini haswa? Wanataka nini na akili za watoto wa Kitanzania? Mimi sioni hili suala limekaa vizuri haswa ukichukulia Uturuki haina uhusiano wowote maalum wa kihistoria na Tanzania. Waturuki wenyewe wakipata nafasi wapo tayari kuhamia Ulaya haswa Ujerumani ambapo wapo wengi sana. Nimeishi Norway, kuna wahamiaji wengi wa Kituruki ambao kazi yao ni biashara ya corner food stores kama Wahindi wa UK na migahawa ya kuuza doner kebab ma pizza. Sasa Waturuki kweli wana nia gani na Tanzania? Labda watakuwa wana manufaa kwa Waislamu wenzao.hayo ni maoni siwezi kukwambia upeleke au la. Ila hilo la kuvutia zaidi waislamu naona umeongeza chumvi kwa vile tayari you are prejudiced.
Kuna tofauti ndogo sana baina ya kiburi na kujiamini.
Japo dogo anahisi kaongea kwa kujiamini, kihalisia kinachosikika hapo ni kiburi, majigambo na dharau.
By the way, bwana mdogo kesha left group. Uzungu mwingi una madhara yake nao. Nina hakika hapo alipo anaji identify kama 'they/them'.
Sawa ana akili nyingi, je marinda yapo?
walitumwa kukusanya na kuwapelekea wapishi wapikeBado najiuliza wale walikuwa wanafanya nini kwenye tenk la Maharage..
You are wrong.. Endelea kufanya researchAkili unataka ipimwe kwa lipi? Daktari hupimwa kwa kufaulu.mitihani kwanza
Ukifeli udaktari kwa heri alama za ufaulu ndizo huamua uwe.daktari,Engineer nk duniani kote
Tanzania haina wahamiaji wengi wenye asili ya Kituruki hadi Waturuki waje kufungua school system yao Tanzania. Hii ni tofauti na Indian school, kwa mfano. Kwa nini watu wa taifa moja watake kufungua mfumo wa shule kwenye taifa lingine ambalo almost hamna wanafunzi wa taifa lao nchi husika? Una jibu?hayo ni maoni siwezi kukwambia upeleke au la. Ila hilo la kuvutia zaidi waislamu naona umeongeza chumvi kwa vile tayari you are prejudiced.
Yani people are so bitter and envious! Kuanza kumtabiria mtoto wa watu upinde kisa anavyoongea, too negative! Angeongea kiswahili kilichonyooka wasingesema hivyo..Wabongo kwa kijicho hamuwezekaniki kwa kweli.
Kwa hiyo wanaodondokea huko wote ni wale wanaojitambua, na wenye elimu nzuri na wanaojiweza kimaisha?
Hivi tukianza kuwaorodhesha wale wanaofanya matendo hayo unadhani ni wa kutoka levels zipi za maisha watakaoongoza?
Research zilifanywa miaka na niaka ji watu wachschebtu ambao akili zao huwezi pima darasani wachache sana dunianiYou are wrong.. Endelea kufanya research