askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 264
Dah, poleni wafiwa. But Polisi nao waangalie huo utaratibu wa kutoa fomu zao (PF 3) kwani muda wote huo wa kuhama vituo huenda ungetumiwa na madaktari kumuongezea bint wa watu siku za kuishi!
Watu wa psychology inabidi waanze kuajiriwa vyuoni na shule za sekondari, kwani chanzo chawezekana kikawa ni msongo wa mawazo kilichompelekea kujihusisha na utumiaji wa pombe kwa wingi. Swala la msongo wa mawazo halina tiba zaidi ya counselling au ushauri nasaha. Lala pema peponi dada Neema.
Unamaanishaa. Yaani kamcharoooIla ni ka kali kinyama yani
PF3 inakuwaje na thamani kuliko uhai wa mtu????! Huo ni upumbavu usiohitaji muwekezaji kung'amua...
Nimewahi kupata ajali ambayo pia ilihitajika PF3 kabla sijatibiwa. Pona yqngu ilikuwa tu kwa sababu kati ya walionipeleka hospital unconcious ni afisa kiaina, nikatibiwa na PF3 ndo ikafuata ila kwa mlolongo kama huo nadhani yangenikuta pamoja na ndugu, jaamaa na marafiki zAngu....
Tutumie akili tuokoe uhai wa wenzetu.
Demu mkali!
Isingekuwa mlolongo wa PF3 labda wangeweza kumuokoa!
Kwa nini wasi control hali ya mgonjwa kwanza?
Isingekuwa mlolongo wa PF3 labda wangeweza kumuokoa!
Kwa nini wasi control hali ya mgonjwa kwanza?
hapo maswala ya pf3 jamani mgonjwa kama anaumwa sana atibiwe kwanza jamani hii nchi hi
lakini pia kuna mtu aliwahi kusema kama una kiasi kikubwa cha pombe ukienda kutibiwa mafactar wanashindwa kukupa ,saada maana kama kidonge ukipewa kinaeza kikakumaliza
by the way she is cute
R.I.P ney...pole baba neema