BAAASI. Inashangaza watu, binadamu, ambao hawajui lini watakufa, na vipi watakufa, wanapogeuka miungu watakatifu na kuanza kuhukumu. Watu wengine wanaviwango vidogo sana vya busara.
Isingekuwa mlolongo wa PF3 labda wangeweza kumuokoa!
Kwa nini wasi control hali ya mgonjwa kwanza?
Ukifuata beurocracy basi mambo kama haya yanatokea na usipo fuata mambo kama ya ESCROW yanatokea. Pf3 ni lazima itolewe ndio mgonjwa atibiwe. La sivyo watatibu na wahalifu. Sema wengi wetu tunasahau kwamba kunakitu inaitwa contigency.
Ingetumika hii basi binti angepona.
R. I. P.
Madawa haya.Habari ambazo sijadhibitisha kutoka kwa rafiki wa karibu wa huyu binti ambaye ni mtu wangu wa karibu pia ni kwamba huyo binti siku za karibuni alijiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Ni kwamba alijiingiza kwenye urafiki na mjukuu wa nyerere (simfahamu) ambaye kwa muda mrefu alikuwa anaishi Uingereza. Huyo mjukuu wa mzee amerudi tanzania na ni mtumiaji mkubwa wa madawa ya kulevya, pombe kali na wanaume anaotoka nao asilimia kubwa ni wazungu. Kutokana na urafiki waliouanzisha, huyo Neema naye akafuata hizo tabia na sehemu nyingi za (kula bata????) walikuwa wanakuwa pamoja kwa siku za karibuni. Siku ya tukio inasemekana walikuwa wote, na kabla ya kifo kumkuta huyo binti alichanganya madawa ya kulevya pamoja na pombe kali, kifupi ni kwamba alijiO.D. (Overdose). Kwa taarifa isiyo rasmi ni kwamba binti kafariki kwa sababu ya matumizi makubwa ya madawa ya kulevya (cocaine????) siku ya tukio akachanganya na mipombe mikali the same day. RIP MDADA
Maskini...RIP Neema.
DZUDZUKU kwani hao wahalifu huwa hawatibiwi mwisho wa siku?! Unless wakishagundulika ni wahalifu huwa wanaachwa wafe hoja yako haina mashiko.
Kungekuwa na utaratibu kwamba mtu anapewa huduma wakati polisi wa kituo cha karibu na hosp wanapewa taarifa. Wakati maisha ya mtu yanaokolewa polisi wanakuja, wanafanya yao na kama mtu ni mhalifu anatiwa pingu na kuwekewa ulinzi wakati wanasubiria apate nafuu wamchukue.
Huo upuuzi wa kukimbizana polisi wakati mtu yuko hoi unagharimu maisha ya watu wengi sana.
Kwa hili unawaonea wazazi hawawezi kuwa na vijana wao muda woote
Mdau hakuna mzazi kuonewa ila mtoto ukimlea katika maadili na misingi iliyo imara hakika Malaika watamlinda mpaka siku za uzee wake, na hiyo ya wazazi kulea watoto imeandikwa ndani ya Biblia na imeandikwa mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijakaribia siku zilizokuwa mbaya .
Your very right mydia but Shetani naye anambinu nyingi. Niwachungaji wa ngapi? Ambao watoto wao niwaovu kupita Kiasi??
Nadhani tusitupe lawamana kwa wazazi moja kwa moja.
Daah kifo bana alikuwa katoka kunywa pombe poleni waf iwa lakini wazazi simamieni hapa enyi wazazi waleeni watoto wenu katika njia ipasayo nao hawataiacha mpaka uzeeni.
Kuna umuhimu kila hospital ya serikali iwe na dawati la askari just kuandika hiyo PF3....na kwa hili we only need just one askariMaskini...RIP Neema.
DZUDZUKU kwani hao wahalifu huwa hawatibiwi mwisho wa siku?! Unless wakishagundulika ni wahalifu huwa wanaachwa wafe hoja yako haina mashiko.
Kungekuwa na utaratibu kwamba mtu anapewa huduma wakati polisi wa kituo cha karibu na hosp wanapewa taarifa. Wakati maisha ya mtu yanaokolewa polisi wanakuja, wanafanya yao na kama mtu ni mhalifu anatiwa pingu na kuwekewa ulinzi wakati wanasubiria apate nafuu wamchukue.
Huo upuuzi wa kukimbizana polisi wakati mtu yuko hoi unagharimu maisha ya watu wengi sana.
Tz bana yaani yu hoi, hatibiwi mpaka pf tatu?kwanini asiendelee kupata matibabu huku tukifuatilia pf3?