Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

Counselling& guidance needed for our adolescents&youths coz In these ages most of people are dying coz they lack experts to help them cope with their stresses!!
 
Ili suala la PF3 liangaliwe upya.

Mgonjwa anapokuwa mahututi atibiwe kwanza, mbona tumechelewa sana.

Poleni sana wafiwa

Serikali yetu siyo sikivu, na inashindwa hata kuchanganua mambo madogo yasiyohitaji akili nyingi. Hili suala la PF 3 tumelalamika muda mrefu sasa, mpk leo hakuna kinachoendelea.

Too bad tunaongozwa na watu wasiofaa kuwa viongoz.
 
Ukifuata beurocracy basi mambo kama haya yanatokea na usipo fuata mambo kama ya ESCROW yanatokea. Pf3 ni lazima itolewe ndio mgonjwa atibiwe. La sivyo watatibu na wahalifu. Sema wengi wetu tunasahau kwamba kunakitu inaitwa contigency.

Ingetumika hii basi binti angepona.

R. I. P.

Kweli tunashindwa kuweka utaratibu mzuri wa pf3 utakaowezesha majeruhi/mgonjwa kupata huduma mapema baada ya kufikishwa hospt?

Jeshi la polisi haliko smart, halijiendeshi kisasa, mawazo mgando, hakuna ubunifu.

Shame on us Tz....
 
Daaah veery sad...My her soul rest in peace ..she z very beautiful. ..kuna mtu kapoteza mke mtarajiwa hapa..daah...il
 
Habari ambazo sijadhibitisha kutoka kwa rafiki wa karibu wa huyu binti ambaye ni mtu wangu wa karibu pia ni kwamba huyo binti siku za karibuni alijiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Ni kwamba alijiingiza kwenye urafiki na mjukuu wa nyerere (simfahamu) ambaye kwa muda mrefu alikuwa anaishi Uingereza. Huyo mjukuu wa mzee amerudi tanzania na ni mtumiaji mkubwa wa madawa ya kulevya, pombe kali na wanaume anaotoka nao asilimia kubwa ni wazungu. Kutokana na urafiki waliouanzisha, huyo Neema naye akafuata hizo tabia na sehemu nyingi za (kula bata????) walikuwa wanakuwa pamoja kwa siku za karibuni. Siku ya tukio inasemekana walikuwa wote, na kabla ya kifo kumkuta huyo binti alichanganya madawa ya kulevya pamoja na pombe kali, kifupi ni kwamba alijiO.D. (Overdose). Kwa taarifa isiyo rasmi ni kwamba binti kafariki kwa sababu ya matumizi makubwa ya madawa ya kulevya (cocaine????) siku ya tukio akachanganya na mipombe mikali the same day. RIP MDADA
 
Watu wa psychology inabidi waanze kuajiriwa vyuoni na shule za sekondari, kwani chanzo chawezekana kikawa ni msongo wa mawazo kilichompelekea kujihusisha na utumiaji wa pombe kwa wingi. Swala la msongo wa mawazo halina tiba zaidi ya counselling au ushauri nasaha. Lala pema peponi dada Neema.

Point Mkuu. Tena nataman wangekuwa wanasoma hapa sasa hv kesho waanze kusambazwa upesi!!! Hali ni mbaya vyuoni.
 
serikali yetu bado inamfumo wa kuangalizia ndomaana matatizo hayaishi
 
Watu wa psychology inabidi waanze kuajiriwa vyuoni na shule za sekondari, kwani chanzo chawezekana kikawa ni msongo wa mawazo kilichompelekea kujihusisha na utumiaji wa pombe kwa wingi. Swala la msongo wa mawazo halina tiba zaidi ya counselling au ushauri nasaha. Lala pema peponi dada Neema.
Hiki kitengo ni muhimu sana sijui wahusika wanaliona hili naomba serikali ijayo iangalie na hili.
 
kweli mkuu,Ifike wakat serikal ilione hili,kwanini kusiwekwe utaratibu kila hospital ya wilaya kukawa na ofisi ya kutoa hizi PF 3??nakumbuka nshapata shida sana na majeruh wa ajal kwa kuzungushwa nenda kituo hik,ukifika nenda kule,,kuna haja ya kulitazama hili vifo vingi vnatokea kwa kukosa huduma kwa wakati!!!!
Manina halafu mmekazana watu warudi bongo kwenye nchi ya majanga na mategeta escrow na ma epa:::harudi ng'ooo.
 
Very sad...rest in peace wajina...hizo PF3 ...sijui ni nini aisee,ila kama hawataki kuweka hospitali karibu na vituo vya polisi ambako vinatolewa hizo PF3....then it doesnt make sense....
 
hospitali zina mijengo mikubwa yenye vyumba vingi wanashindwa kuweka kaofisi ka polisi kwenye kila hospitali...ila ukiwa na rushwa sometimez unatibiwa bila hata PF3.
 
Jamani PF3 kwanza mtu amekula sumu??? Huu ndio utaratibu! Hao watabibu wamesoma wapi???? Heeee! This is made in Tanzania kweli....
 
Mungu ailaze roho ya huyu Binti mahali alipojichagulia yeye mwenyewe enzi za Uhai wake

Watu wengine bwana. Huwa naonaga sana hii tabia ya kijinga ya watu kutamka maneno haya kwa marehemu. Kwani kuna ugumu gani kumtakia kheri marehemu huko alikoenda kwa kusema Mungu Ailaze Mahali Pema Roho yake? Hii ni kama sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake na kumuepusha na adhabu za kaburi. Sala ambayo kila atakayeonja mauti atatamani waombolezaji waitamke kwake. Sasa kwa kulitambua hilo Wazungu wanasema RIP, watu weusi kwa kuwa tunachukiana basi tunajitahidi ku twist huo msemo na kuingiza vijineno vya kinafiki visivyokuwa na maana yoyote zaidi ya kudhirisha tu kuwa roho zetu ni nyeusi...ndio utamsikia mtu anaropoka mungu amlaze anapostahili, au maneno kama huyu boya hapa. Ultra pathetic.
 
Basi kila hosp ya wilaya kuwe na kituo cha polisi kwa ajili ya hizi issue za PF 3
 
Back
Top Bottom