Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

Habari za kusikitisha san a zilizopatikana mchana huu ni kwamba mmoja kati ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Sekondari ya Korogwe, amefariki.
Msichana huyo Zahra Jumanne,ilikuwa amepelekwa KCMC Moshi kwa matibabu akiwa na hali mbaya.
Habari hi imenigusa na kunikitisha sana.
Rip mtoto Zahra
 
Habari za kusikitisha san a zilizopatikana mchana huu ni kwamba mmoja kati ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Sekondari ya Korogwe, amefariki,
Msichana huyo ilikuwa amepelekwa KCMC Moshi kwa matibabu akiwa na Halifax mbaya.
Habari hi imenigusa na kunisitisha sana.
Rip mtoto Zahra

Duu!!!! RIP Zahra
 
Nani kakwambia pikipiki za kichina wajifunza leo na kujua leo? Weee zawachinja kama kuku cha msingi hapa ni kuwapa pole wale wote waliofikwa na masahibu hayo na c kulinganisha baja na toyo hizo zote zinna mfumo mmoja tu wa uendeshaji. Poleni wahanga wa tukio hilo na ninawatakia afya njema mpone haraka.
 
Taarifa nilizoziona kwenye Michuzi blogspot zinasema kuwa mmojawapo wa majeruhi wa ajali hii amefariki dunia. Nami naiwasilisha habari hiyo kama ilivyo:

Breaking Nyuzzzzz: Mwanafunzi zahra jumenne wa korogwe girls aliegongwa na gari afariki dunia

HABARI ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE TOKA MKOANI KILIMANJARO,INAELEZA KUWA MWANAFUNZI ALIEKUWA MAJERUHI KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA KOROGWE GIRLS MKOANI TANGA HIVI KARIBUNI,AITWAYE ZAHRA JUMANNE AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA KCMC MJINI MOSHI.MWANAFUNZI HUYO AMBAYE ALIUMIA VIBAYA SANA NA MPAKA KUPELEKEA KIFO CHAKE BAADA YA KUGONGWA NA GARI LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA SHULE HIYO.TUTAENDELEA KUPEANA TAARIFA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZINATUFIKIA HAPA GLOBUNI.

Source: MICHUZI: Breaking Nyuzzzzz: Mwanafunzi zahra jumenne wa korogwe girls aliegongwa na gari afariki dunia
 
Pole zao. Natoa hi! kwa wote waliosoma Minaki enzi za Kaaya.
ha a ha aha aa aha ULIPOSEMA kaaaya UMENIKUMBUSHA mbali brother, mimi nilikuwa PUGU SEC bt nilikuwa natimba minaki boys kama kwet vile, smtym nakula pugu nalala minaki, kaaya mkuda sana, sijui kwa vile ana strec coz smtym AKILI zinaham kabsa!< PUGU n MINAKI wazeee wa KUDROP
 
Ndo tatizo la maisha ya boarding...kutaka kuchota ujiko kuwa na yeye anajua gari,anatoka familia ya kishua...ona sasa ameua
 
nawapa pole walimu na wanafunzi wa korogwe,
Mungu ailaze roho ya marehemu zahra mahali pema pep[oni.
Formal student of korogwe.
 
RIP Zahara,
Ningekuwa na uwezo wa kumshughulikia huyo kaka mtu na mdogo wake kwa kitendo hiki cha kufundishana gari holela hv au ubishoo tu kuwakoga wenzake na baloon ya mwaka 47 kwa kweli ningewafunga miaka mingi tu. Imagine wazazi wa mtoto huyu wanajisikiaje kumpoteza mtoto wao kijinga hivi! Ajali zinakingingika wala si mapenzi ya Mungu haya, ni uzembe.
 
nawapa pole walimu na wanafunzi wa korogwe,
Mungu ailaze roho ya marehemu zahra mahali pema pep[oni.
Formal student of korogwe.

Hapo kwenye red sasa ndo tatizo... Nadhani ulikuwa unamaanisha mwanafunzi wa zamani wa Korogwe ... Basi muwe mnaandika na kwa kiswahili, kama hii lugha ya kigeni kwako ni cheche.. na umejidadavua kama msomi. Nway sio formal ni 'former'... Alaaaaaah!!!!

Mungu akurehemu binti Zahara, upumzike kwa amani.
AMEIN
 
nenda salama tunakuombea kwa mwenyez mungu dada yetu Zahra.polen sana wana familia yote sote tupo katika wakati mgumu mungu awape moyo wa falaja na uvumilivu
 
Back
Top Bottom