Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

Polisi bana uchunguzi huo unaweza chukua hata mwaka mzima
Polisi na Mahakama za Tanzania ni kichomi. Kama unabisha fuatilia kesi hii ambayo kila kielelezo kiko hadharani, utaambiwa "Upelelezi unaendelea" na ikigota Mahakamani itapigwa tarehe hadi mwezi Juni mwaka huu na mwezi Juni kupigwa tena tarehe hadi Desemba mwaka huu na........! Shame on them!!!!
 
Kama mie ndo mzazi wa huyo mtoto mpuuzi, hadi polisi wafike nimeshamaliza na hukumu! Manake atakula mateke ya skuna kimini ningechania mbali kama movie ya comando ya shwazniga! Ebooo!
Spoile brats like these hawana tofauti na wanaotioshia kujiua! Woe to you who are nurturing spoiled bratsssss!
Polisi bana uchunguzi huo unaweza chukua hata mwaka mzima
 
Kama mie ndo mzazi wa huyo mtoto mpuuzi, hadi polisi wafike nimeshamaliza na hukumu! Manake atakula mateke ya skuna kimini ningechania mbali kama movie ya comando ya shwazniga! Ebooo!
Spoile brats like these hawana tofauti na wanaotioshia kujiua! Woe to you who are nurturing spoiled bratsssss!
ayaa. kin'gasi ndio weye kweli?mimi siaminigi katika kumpiga mtoto. haisaidii hata kidogo..mtoto mwenyewe ni wa kike.
 
Bila shaka itakuwa noha au spacio ndo tatizo la automatic kila mtu dreva.kama pikipiki za kichina ndani ya masaa mawili mtu keshakuwa dreva jaribu kumpa dreva wa toyo BAJA 250cc wengi uwa wanakataa wanajua moto wake aupimiki.pole zao na nawatakia exam njema next week
 
My dear, mtoto hapaswi kupigwa kila wakati. Ila siku ya kupiga, inatakiwa iwe haswaa ili siku ingine ukisema 'ukigusa gari yangu, I will strangle ur neck' anaelewa unamaanisha nini.
Hata Bible inasema usimnyime mtoto mapigo! Waswahili wanasema asiyefundwa na *****...
Yaani hapo hamna discussion, ningemrukiaaje! Napandisha mori hapa wa kimang'ati! Lakini hadi mtoto anafikia hapo ujue hesabu ilishakosewa siku mingi! The rule is: what is not your, don't get involved, period!!
ayaa. kin'gasi ndio weye kweli?mimi siaminigi katika kumpiga mtoto. haisaidii hata kidogo..mtoto mwenyewe ni wa kike.
 
My dear, mtoto hapaswi kupigwa kila wakati. Ila siku ya kupiga, inatakiwa iwe haswaa ili siku ingine ukisema 'ukigusa gari yangu, I will strangle ur neck' anaelewa unamaanisha nini.
Hata Bible inasema usimnyime mtoto mapigo! Waswahili wanasema asiyefundwa na *****...
Yaani hapo hamna discussion, ningemrukiaaje! Napandisha mori hapa wa kimang'ati! Lakini hadi mtoto anafikia hapo ujue hesabu ilishakosewa siku mingi! The rule is: what is not your, don't get involved, period!!
basi kumbe una hasira sana..unaweza kumuua mtoto..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na wazazi wangu kwa vitu amavyo hata vilikuwa havistahili kipigo.bible ni msitu....unaweza ukapotea ..au usipote..
 
mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita amemjeruhi mzazi wake. ishu ipo hivi.
leo kuna mahafari ya kidato cha sita krgwe girls, sasa mzazi mmoja alikuja kwenye maafari kama
akiwa na usafiri binafsi, sasa alipofika tu na kusimamisha gari akaenda nyuma ya buti ya gari kutoa
zawadi na mahanjumati... ndipo huyo mwanafunzi akaingia ndani ya gari na kulichokonoa...
maskini kumbe gari (automatic) lilikuwa katika gear ya reverse ndipo alipomjeruhi mzazi wake
na waliokuwepo kwenye target ya gari . majeruhi wamekimbizwa hospitali ya manungu korogwe.
Huyo mwanafunzi alipoulizwa kulikoni? akadai aliminya vidude vya gari bila kujua. sijapata taarifa za rip
mpaka sasa, kama kuna mwenye updates pls.

source: radio mwambao fm (tanga)
 
Kama mie ndo mzazi wa huyo mtoto mpuuzi, hadi polisi wafike nimeshamaliza na hukumu! Manake atakula mateke ya skuna kimini ningechania mbali kama movie ya comando ya shwazniga! Ebooo!
Spoile brats like these hawana tofauti na wanaotioshia kujiua! Woe to you who are nurturing spoiled bratsssss!

aahh,naona mamaa king'ast, kithungu hiko umeshindwa kuvumilia hasira!!alaaaah
 
poleni sana wahusika wote.

Sasa katika tukio kama hili polisi wanafanya uchunguzi!!!!!!! Kila kitu kipo wazi, mashahidi wapo, mtuhumiwa yupo......

Ni uchunguzi gani kama si kutaka kupeleleza labda mzazi ni mkuu serikalini au ana pesa za kuwamwagia mchele ili wapoteze ushahidi!!!!!

Mwisho watasema "kosa la marehemu"

mizambwa
inaniuma sana!!!
mkuu usirahishishe mambo, polisi ni taaluma waache wafanye kazi yao. .....kazi za polisi mnataka kuzifanya kwamba kila mtu anaziweza......
 
Wazazi wa huyo binti wapewe "karipio" kali. Pole kwa waliogongwa.
 
Pole zao wote walijeruhiwa na funzo kwetu sisi sote kutofanya makosa ya kiuzembe namna hii sasa hili limewaweka wazazi na mtoto matatani. Pole wazazi wa watoto walio umizwa
 
Mwenye gari na huyo aliyeendesha gari wakati hajui wanastahili adhabu kali kabisa...
 
mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita amemjeruhi mzazi wake. ishu ipo hivi.
leo kuna mahafari ya kidato cha sita krgwe girls, sasa mzazi mmoja alikuja kwenye maafari kama
akiwa na usafiri binafsi, sasa alipofika tu na kusimamisha gari akaenda nyuma ya buti ya gari kutoa
zawadi na mahanjumati... ndipo huyo mwanafunzi akaingia ndani ya gari na kulichokonoa...
maskini kumbe gari (automatic) lilikuwa katika gear ya reverse ndipo alipomjeruhi mzazi wake
na waliokuwepo kwenye target ya gari . majeruhi wamekimbizwa hospitali ya manungu korogwe.
Huyo mwanafunzi alipoulizwa kulikoni? akadai aliminya vidude vya gari bila kujua. sijapata taarifa za rip
mpaka sasa, kama kuna mwenye updates pls.

source: radio mwambao fm (tanga)

Mbona mnatuchanganya, kagonga WANAFUNZI wenzake au MZAZI wake?!
 
Nawaombea majeruhi wapone haraka na walaaniwe wazazi waliompatia gari mtoto wao kiasi cha kukozi hiyo aksidenti
 
I see. Hii mbaya sana kwa kweli. Tunapaswa kuangalia sana malezi ya watoto wetu.
Mungu wasaidie majeruh waweze kupata nafuu.
 
Back
Top Bottom