Fuata ngazi stahiki, nenda kamuone Mtemdaji elimu kata ilipo iyo Shule , ukiona haeleweki vuka ngazi ukamuone Afisa elimu,lakini hakikisha kwamba Huyo mtoto ni innocent girl maana kama alitoa mimba na Shule ikawa na uthibitisho kuwa alikua na mimba means mnamtengenezea mtoto mazingira mabaya ya kushtakiwa kwa kosa la kutoa mimba pia
N.B muone Mkuu wa Shule friendly ongea nae (ikibidi nenda hata weekend) usitumie ubabe na kujionyesha kuwa ni mjuaji na mwenye command, wakuu wa Shule wengi ukienda kwa kumuheshimu na kumuomba atakusaidia mpaka kutafuta Shule ya kumuhamishia,bodi ya Shule haitii sign yoyote kwenye karatasi za uhamisho kwaiyo kete ya mwisho kaishika Mkuu wake wa Shule ,nenda kamuone