Mwanafunzi kasimamishwa masomo bila hatia .

Mwanafunzi kasimamishwa masomo bila hatia .

Hata kama huyu mtoto alikuwa na mimba au ametoa mimba je kama alibakwa.Watoto waengi huwa wanatishwa na waliowabaka kuwataja.Hakuna sababu ya kumkatisha masomo,huwenda akaja kuwa doctor na kuja kuwasaidia wanawake wenzake wanaokumbana na matatizo ya uzazi.Asaidiwe aendelee na masomo,hakuna binadamu aliyekamilika.
Tatizo hakuwa muungwana. Anatumia sheria iliyopindishwa. Hata mimi ningekuwa mkuu wa shule ningegoma kisha kama ni ukuu nivuliwe lakini si kufanyiwa jeuri mchana kweupe. Hao wanaomshauri kwenda kwa waziri ni walewale!!!! Jambo la muhimu ni kukiri na kukubali makosa ili kiongozi aone namna ya kukusaidia. Ni wanafunzi wangapi wanafichiwa makosa na walimu had I wanafanikiwa kufikia malengo? Lakini anaejifanya mjuaji dawa yake kummaliza. Dawa ya moto ni moto.
 
Kwann afukuzwe peke yake? Nyie mnasikiliza upande mmoja na inaonekana mlikwenda shule na mentality hiyo. Heb amua kuwa neutral uende kwa mkuu muongee vzr atakusaidia. Huenda walimu wanajua vzr yaliyotokea ila sababu nyie mnaenda kijazba mnashindwa kupata mwafaka
Kwahiyo ushauri wenu wa mwisho niende kwa Mkuu nikaongee naye na nikampigie magoti maana dogo kafaulu vzuri sana inaniuma wakuu
 
Kaonane na afisa elimu sekondary au DED wa wilaya husika
 
Wanajamvi,naomba kuliweka wazi hili mwaka Jana 2016 mwezi August katika shule ya sekondari Kidodi kuna mwanafunzi alisimamishwa masomo kwa tuhuma kuwa ana ujauzito baada ya kwenda kupima zahahati ya Kidodi wilaya ya kilosa binti hakukutwa na ujauzito lakini bodi ikaidhinisha kufukuzwa kwake na akalazimishwa kusaini kukubaliana na maamuzi ya bodi,lakini binti huyu cha ajabu aliitwa kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha pili mwaka jana na amefaulu vzuri lakini bado shule imekataa kumpokea hata kutoa uhamisho wamegoma wanalazimisha mtoto tumpeleke private na wazazi hawana uwezo nimekuja kwenu kuomba ushauri
Mimba inaonekana kaitoa uyo ,maana wasingeweza kumfukuza iv iv ,wanafunzi huwa wanapimwa kwanza kabda ya kufukuzwa ,aache ubabaishaji na kupoteza wakati achague moja anapokuwa mwanafunzi.pia shule za serikali zinautartibu wake ambao ni formal na kama mkuu wa shule alikuwa makini ushidi wa vipimo vyake vya kutoka kwa daktari vipo kwenye faili lake,mwisho kafukuzwa na bodi ya shule na sio mkuu wa shule,kwa ushuri zaidi niambie nikusaidie swala hili.
 
Mimba inaonekana kaitoa uyo ,maana wasingeweza kumfukuza iv iv ,wanafunzi huwa wanapimwa kwanza kabda ya kufukuzwa ,aache ubabaishaji na kupoteza wakati achague moja anapokuwa mwanafunzi
Mmmmh huna huruma wewe bila shaka utakuwa Mwalimu
 
Mimba inaonekana kaitoa uyo ,maana wasingeweza kumfukuza iv iv ,wanafunzi huwa wanapimwa kwanza kabda ya kufukuzwa ,aache ubabaishaji na kupoteza wakati achague moja anapokuwa mwanafunzi.pia shule za serikali zinautartibu wake ambao ni formal na kama mkuu wa shule alikuwa makini ushidi wa vipimo vyake vya kutoka kwa daktari vipo kwenye faili lake,mwisho kafukuzwa na bodi ya shule na sio mkuu wa shule,kwa ushuri zaidi niambie nikusaidie swala hili.
Nisaidie mkuu
 
Wanajamvi,naomba kuliweka wazi hili mwaka Jana 2016 mwezi August katika shule ya sekondari Kidodi kuna mwanafunzi alisimamishwa masomo kwa tuhuma kuwa ana ujauzito baada ya kwenda kupima zahahati ya Kidodi wilaya ya kilosa binti hakukutwa na ujauzito lakini bodi ikaidhinisha kufukuzwa kwake na akalazimishwa kusaini kukubaliana na maamuzi ya bodi,lakini binti huyu cha ajabu aliitwa kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha pili mwaka jana na amefaulu vzuri lakini bado shule imekataa kumpokea hata kutoa uhamisho wamegoma wanalazimisha mtoto tumpeleke private na wazazi hawana uwezo nimekuja kwenu kuomba ushauri
Kasome joining instruction aliyopatiwa...utakuta sehemu iliyoandikwa:
MAKOSA YANAYOSABABISHA MWANAFUNZI AFUKUZWE SHULE:
1. Utoro
2. wizi
3. Uasherati
4. kutoa au kushiriki kutoa mimba
n.k

kisha sasa rudi ukasome barua aliyoandikiwa kufukuzwa. Nina hakika utagundua hao walimu na bodi ya shule wana ubinadamu sana ndio maana walimruhusu walau kufanya mtihani. Kushiriki tu ngono na akathibitika kushiriki inatosha kumfukuza shule.....sio lazima awe na mimba.
Ninachoona hapa unaelekea kumfunga huyo daktari wa Kidodi maana alimtoa mimba huyo mwanafunzi. Pia ujue kuwa mwanafunzi anapofukuzwa shule basi hawezi kupewa tena uhamisho kwani siyo mwanafunzi wa shule hiyo tena.....na ikitokea akapata shule private, atasaidiwa kupata matokeo ila hakutakuwa na barua yoyote ya kumtambua.
 
Back
Top Bottom